Recent content by Tata

  1. T

    Polepole apinga utaratibu wa kuwahamisha machinga, amuonya RC Dar. Ashutumu mikopo kusababisha utegemezi

    Unajua VIEITE wewe? Naona kama ameyamiss madaraka makubwa aliyokuwa ana-enjoy chamani.
  2. T

    Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

    Kila enzi na kitabu chake. Mama Samia Suluhu Hassan hawezi kuwa sawa na Mwendazake.
  3. T

    Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Unaweza kutueleza kwa ufupi CV yako kuhusu masuala ya sheria na jinsi ya kuendesha kesi ya ugaidi kama hii inayoendelea? Baada ya hapo tutajadili hoja zako za msingi.
  4. T

    Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Akiwa kwenye tume ya Warioba aliwahi kusikika akisema kuna chama bila msaada wa polisi hakiwezi kushinda uchaguzi. Je ameshafikia hiyo topic kwenye shule yake?
  5. T

    #COVID19 Sakata Askofu Gwajima dhidi ya Bunge, Mawaziri na Baadhi ya Wananchi limechora Uhalisia wetu

    Naona wale maadui watatu aliowaainisha Mwalimu Nyerere miaka ya 1960 bado wapo imara 50 years later na sasa wamekuwa nguvu kuliko wakati ule wa uhuru. Hasa adui ujinga.
  6. T

    Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    "Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them in the first place".
  7. T

    #COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

    Good Leadership! Cheupe kiitwe cheupe na cheusi kiwe cheusi. Kama watumishi wa kanisa wanaokutana na waumini wengi ni busara mapadri wachanje ili wajikinge wao wenyewe na waumini wao. Baba Askofu yuko sahihi. Una hiyari ya kuchanja ila huna hiyari ya kuambukiza wengine.
  8. T

    Tundu Lissu atua Washington DC Marekani kuhudhuria Mikutano kuhusu Demokrasia na hali ya Siasa

    inawezekana una vinasaba vya mbuzi jike ndio maana unasikia harufu ya mabeberu!
  9. T

    Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

    Mfate 42 sijakasirishwa nilieleza tu mtazamo wangu. JF ni sehemu ya kupunguza stress siyo kusababisha mtu akasirike. Kama unaweza kuwa unakasirishwa na comments za JF basi utakuwa na matatizo makubwa zaidi yanayohitaji ushauri nasaha.
  10. T

    Ninaipongeza serikali ya Uingereza kwa kuwavumilia Watanganyika

    Duh! Tumefika papaya sasa hii siyo sawa. Mna maana tunawamiss wakoloni weupe?
  11. T

    Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC

    Hongereni kwa kuwasaidia ndugu zetu wa DRC.
Back
Top Bottom