Recent content by Tasbeeh313

  1. Tasbeeh313

    Marajibio au mitego ya kumpa mwanamke kabla ya kufikia maamuzi ya kumuoa

    Mungu kawapa ufaham wa ndan sana ambayo hujui, ukiwa unampima anajua yy ana switch side ukiwa humpimi pia anajua , ww cha msingi ondoa hofu mpe pesa wala usijaji kuwa mr don't care yy mwenyewe utaona anakwambia ...
  2. Tasbeeh313

    Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

    Qummke hajakufungukia full anamanisha kuna watu huiba nyota wakiona ina ng'aa sana so walikuwahi tangu upo mdogo..
  3. Tasbeeh313

    Ni kweli kuna watu wanaroga ili mwenye nyumba asahau kumalizia ujenzi au kuhamia kwenye nyumba yake?

    Siyo tu hivyo unaweza hata kusahau kama ulianzisha ujenzi na unajenga labda kama mtu akuzindue watu waroga , kwa wale ambao hujenga kimyakimya bila kumshirikisha mtu wa karibu hata wa kukuzindua kama una ujenzi ndo basi tena 😀😀😀
  4. Tasbeeh313

    Nimeshuhudia mtu akiwanga, hili limenitisha

    Huyo aliyekujia huu muda naye anawaza yeye ndo amekosea masharti hadi ukamuona au wewe ndo unashida ...... Omba mungu amefanya makusud umuone lakin usimtambue
  5. Tasbeeh313

    Saa moja na dakika 17

    tabu inakuja mzigo unauskia kabisa upo ukiinuka lakin ukikaa ushushe ndo utajuta ,labda iyo choo yako iwe ya master,lakin ile ya choo ya changanyiken utakuta notes kwa mwenye mjengo
  6. Tasbeeh313

    Saa moja na dakika 17

    Haya ma ngano ya karne zetu cjui yanakitu gan , huko nyuma si ndo ngano ilikuwa chakula mama ,mikate migumu unakula na zabibu au tende imeisha lakin hizi zetu hata ule na asali lazima kikurambe ukiwa chooni...
  7. Tasbeeh313

    Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?

    Haka kamsemo ukitaka kuona kanafanya kazi mtu afungwe halafu umsemee masikion mwake huo msemo .ila watu wa mbugani wana shida
  8. Tasbeeh313

    Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

    Unajua hilo neno makafiri ni wapingaji, nafikiri lingeitwa kwa jina la wapingaji msingelalamika kiasi hicho, kwani wale wa dhehebu la wa pentekoste unajua kwann walikuwa na hilo jina
  9. Tasbeeh313

    Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

    Hapa kati kuna kimgogoro kiliingia kati ya urusi na wale wa ukraine ili kuisahaulisha dunia mgogoro mkubwa uliopo wa udhalimu na mauaji ya watu wa gaza , mgogoro , lakini hilo lilishindikana na ndo imejulikana zaidi ya awali
  10. Tasbeeh313

    KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Hawa jamaa mfumo wao hauko sawa kivile, lakini IT wao wako active muda wote ku reply all query ,majuzi nilikuwa na ishu ya mfumo wangu wa vyeti ilikuwa ijumaa but jumapili waka solve fasta, wao wanajua mahala penye udhaifu wana solve soon
  11. Tasbeeh313

    Wanawake wengi wamejigeuza bidhaa tuishi nao kwa akili

    Tusiwa underestimate , wako more miles katika brain zao:)
  12. Tasbeeh313

    Wanaume mnao tumia english kutongoza

    Mjibu kwa kiswahili yaishe , wengine wakiongea english confidence ndo inakuja ,kama kumkataa mkatae kwa englis
  13. Tasbeeh313

    Wanaume ni wa ovyo sana

    umefukunyua sana bado kwenye galley yakeujaenda , unashangaa anarudi anakuuliza "umemalaiza kulia tiale mke wangu"
  14. Tasbeeh313

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Hivi wale waliokataa uteuzi wamebadilishiwa kazi au Fire on Fire
  15. Tasbeeh313

    Kila nikianzisha mahusiano, yanavunjika kabla hatujafikia hatua nzuri

    Muumba wetu ni mwema kila siku ndugu [emoji120][emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom