Recent content by Tariqfinest

  1. Tariqfinest

    Jwaneng Galaxy vs Simba Sc Tathmini ya JF

    Your prediction ?
  2. Tariqfinest

    Jwaneng Galaxy vs Simba Sc Tathmini ya JF

    Niambie vitu gani vya tofauti unatarajia kuviona katika mchezo huu..? Kwa timu zote mbili Suprise package..[emoji116] Inonga..Sakho..Banda..Kanoute..Duncan..Mhilu..Kibu..Mwenda..Kisubi Maingizo mapya
  3. Tariqfinest

    Jwaneng Galaxy vs Simba Sc Tathmini ya JF

    Niambie vitu gani vya tofauti unatarajia kuviona katika mchezo huu..? Kwa timu zote mbili Suprise package..[emoji116] Inonga..Sakho..Banda..Kanoute..Duncan..Mhilu..Kibu..Mwenda..Kisubi Maingizo mapya
  4. Tariqfinest

    Simba SC vs Yanga SC nje ya uwanja

    Top 10 timu zenye wafuasi wengi katika mtandao wa Tweeter kwa ukanda wa CECAFA 1. SimbaSCTanzania - 647 K 2. Yangasc1935 - 167 K 2. OfficialGMFC - 161 K 4. Azamfc - 142 K 5. AFCLeopards - 100 K 6. Rayon_sports - 67.2 K 7. KCCAFC - 58.5 K 8. VipersSC - 47.9 K 9. Aprfcofficial3 - 46.8 K 10...
  5. Tariqfinest

    Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

    Oya mm niwe ata muandazi basi ...upande wa Simba
  6. Tariqfinest

    Visit Kilimanjaro and Zanzibar haina mantiki

    Bado sio hoja ya msingii
  7. Tariqfinest

    Utatu upi utafanya vizuri siku ya leo Simba Day?

    Mna top scr wa last season #Bocco na Top scr wa pre season #sakho Na Ajibu udambuudambuu
  8. Tariqfinest

    Utatu upi utafanya vizuri siku ya leo Simba Day?

    Utatu upi utafanya vizuri siku ya leo A) Pape O Sakho, John Bocco na Ibra Ajibu. B)Mushimba Mugalu , Peter Banda na Bwalya. C) Medie Kagere , Hassa Dilunga na Morisson
  9. Tariqfinest

    Kabla sjaoa nizingatie nini

    Ili ni swal nimeulizwa na vijana watatu ambao wannia ya kuingia katika mahusiano ya kudumu yaani ndoa .. Taja vitu unavyovizingatia kabla hujavuta jiko ?
  10. Tariqfinest

    Singeli Battle

    Huku Meja kunta huku Tunda man Nani akitoa ngoma za Simba ngoma zake zinaenda sana mtaaani...?
  11. Tariqfinest

    Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya?

    Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya? 1, Je simba itaendelea kuwa bora kama msimu uliopita? 2, maingizo mapya kikosini yataleta tija kama matumaini ya wengi? 3, Je Mazembe ni kipimo kizuri mbele ya mashabiki kukipima kikosi 4, ushindi mechi 2 na...
  12. Tariqfinest

    Maswali Muhimu kuelekea mchezo wa Yanga baadae

    1, Aina ya sajiri walizofanya kikosini na muda wa maandalizi watawapa mashabiki wao kile walichokimiss kwa muda mrefu ? 2, Kuwakosa Khalid Aucho, Djuna na Mayele kunaenda kuiathiri vipi Yanga ? 3, Kupoteza mchezo wa siku ya wananchi kunaenda kuwapa maswali gani wachezaji ? 4, Uongozi tuka...
Back
Top Bottom