Recent content by Tariq Mimi

  1. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

    Kwa kiwango cha mtaji ulichonacho ni vema ukazingatia zaidi ukaribu na ubora wa mahitaji usifikirie zaidi katika kulangua. Nasema hivi kwa sababu kiasi utakachoamini pengine umelangua bado unaweza kujikuta unalazimika kukifidia katika nauli pengine na zaidi. Kila la heri katika upambanaji wako.
  2. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Baada ya episode ya mwisho alitoa hii taarifa ya kuendelea ijumaa
  3. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hivi INSIDER MAN si alishasema next episode ni ijumaa au mimi ndo sikumuelewa?
  4. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    Labda hujamuelewa, nadhani amekusudia kukukumbusha kwa mtindo wa swali ila kwa bahati mbaya umeshindwa kufanya rejea ya ulichokiandika.... Wewe uliandika kinyume chake.
  5. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Katika hao wachache tunahitimisha vipi kama Eva hawezi kuwa miongoni mwao?
  6. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahiyo ukiona haisomi ndiyo utoe sio?
  7. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Big no kiongozi..., unless uwe unaifanya/umeipata hiyo kazi kimazabe na hauna weledi wowote kazini ila kwa mfanyakazi anayejitambua na anaelewa umuhimu wake yani anajua kabisa uwepo wake unaongeza kitu katika taasisi/kampuni husika kuna wakati lazima awe na misimamo na hii hukuongezea thamani...
  8. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    "Na muda huu nilisema nimpigie simu Iryn ili nimuulize tunaonana muda gani kwaajili ya mazungumzo. So baada ya kumpigia simu Iryn alisema kwa leo haitawezekana maana yuko busy hivyo tufanye kesho, na mimi nilimwambia kwa kesho itakuwa ngumu nina ratiba zangu muhim hivyo tuonane jumatano." Na...
  9. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/47465665
  10. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

    Hii kitu nadhani ilisharipotiwa kufanyika Aga khan humu kama sikosei
  11. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Pikipiki inatafuta mteja Make: BAJAJ Model: BOXER Colour: BLACK Year of Manufacture: 2018 Chombo kipo katika hali nzuri ni cha kuwasha na kuondoka, imekua ikitumika kwa matumizi binafsi, nyaraka muhimu zote zipo. Bei ni milioni moja na laki tano taslimu (1,500,000/=). Mazungumzo kidogo yapo...
  12. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Stay blessed Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
  13. Tariq Mimi

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje naona aibu, anamlazimisha mtoto wake aniite baba

    Haya mambo haya kuna katoto kalikua na haya mazoea mpaka baba yake akaweka uhasama baina yetu, ila binafsi huwa inanifariji mno na nina watoto wa hivi si haba japo waswahili na imani zetu wanadai itapelekea kuwa na kizazi cha kimagumashi
Back
Top Bottom