Yeah huwaa ni lazimaaa uchelewee kwan allocation inakuwaa imepelekwa chuo kingine,hivyo kama utakubaliwa transfer pesa itachelewa sababu imebafilishwa chuo kwa uelewa wangu ni hivyooo
Ndugu mbingunikwetu cha msingi vitu vya kuwa navyo ni vyeti original vya shule,cheti cha kuzaliwa ukiwaa na nakala za vitu hivyo watavihakiki original na chuo watabaki na nakalaaa au vivuli vya vyeti
Karibuuu sanaaaaa ndugu,hostel zipo kwa mwaka wa kwanza na wenye shida maalam mfano wanafunz kutoka nje ya nchi,albino,walemavu nk hao wanazingatiwaaaa sanaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.