Recent content by Tarime one

  1. Tarime one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

    Aisee 😀😀😀😀😀😀
  2. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Press ya Halima imeongeza maswali mengi kuliko majibu. Amezungumza vitu vingi lakini "theme" ya press yake haieleweki

    Ukiona jirani analia sana kwenye msiba kuliko ndugu wa mfiwa ujue kuna jambo.
  3. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Hasa wenye roho za chuki kama ndugu yetu huyu
  4. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

    NCHI HII JAMANI 😃😃😃ANAEJUA TUNAKOELEKEA ATWAMBIE
  5. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Nimekua nikifuatilia mjadala wa bunge muda mrefu na kwa kweli NDUGAI umepoteza mwelekeo kabisa. Umekua ukikanyaga na kuzisigina sheria wazi kabisa,tunakuona na jua kuna maisha baada ya bunge na soon tutakutana mtaani,
  6. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Namba zote zimejaa na haziwez kupokea tena pesa mnaaswa kutuma kwa CRDB... Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    DJkus, Acha na huyu mhutu asieelewa siasa. Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Jumba bovu hili kuna mtu ataangushiwa muda si mrefu Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mambo kubaki 'Kama kawaida' pamoja na teua/tengua, maelekezo, maelezo na 'mikwara' ya Rais Magufuli

    Aisee nenda hata ngumbaru ukajifunze Kiswahili fasaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzalendo na sio mzarendo. Maslahi na sio masrahi. Tajiri na sio tajili.[emoji85]
  10. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani habariini zenu, Naomba msaada jamani bado najifunza ila kuna hii 3-way handicap sielewi kuitumia naomba kusaidiwa
  11. Tarime one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa nabaki na mke wangu tu

    Nipe namba za mchepuko
  12. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game moja imeahirishwa sasa inakuaje wajuvi mnijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Tarime one

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa wa betpawa wanachukua muda gani kuachia mapene jamani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom