Mko wachache ILA hamjaweza kujitosheleza kwa chakula ndip maana WFP wako Kenya permanent. Acheni misifa ya kijinga. Kwanza mjitoshelesha mahitaji ya msingi ndio tuwaelewa.
Mmawia huna kazi ndio maana unashinda ukibishana kwenye mtandao. Watu wa Mara sio wavuvi na tuna ujasiri wa kusimamia tunachokiamini sio kama ninyi kina DJ hamna courages bata ya kufanya uchaguzi eti makamanda. Hata viranga wana ujasiri kuliko ninyi wote na visuti vyenu
Wabunge WA ukawa hawana heshima Na hekima. PIA wanatumia akili ya semi educated. KUB form six alitia mpira kwapani baada ya kuona hawezi kujibu maswali. Na mwaka huu bugeni pia katia mpira kwapana anataka Mtei asaidie
Lisu hovyo hauna moral principle kulaumu mtu yeyote. Enzi za Slaa ulikuwa beacon of hope. Ulipoingia kwenye Project Lowasa huna dira wala maoni Na ujasiri kusimamia unachoamini.
Banana republic ni Kenya hata wabunge waheshimu katiba yao, alshabab wanaoperate freely kabisa. Insecurity is classic example of failure state unfortunately Kenya fall under this category.
Pelekeni chakula bamba village kilifi watu wanakula majani kama mbuzi na kunywa maji machafu. Budget sehemu kubwa ni rushwa tu watu wengi wanaishi kwa shida sana
power house ya kunguni muone aibu hili Ni jambo la fedheha. Kama kwenye matatu hali ni hii kwenye majumba watu hawalali oneni aibu muache kutafuta mijisifa ya kijinga
Wanafunzi wa vyuo mnatumiwa kama condom watoto wa hao wanasiasa wanasoma ng'ambo nyinyi mnatumia. Someni acheni ujinga kwenye job interviews hawaangalii political activities zenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.