Ethiopia's GDP overtakes Kenya's

Nyie mbona mumetuzidi kwa idadi ya watu lakini mpo nyuma kwenye GDP. Hamkosi vijisababu....
Mko wachache ILA hamjaweza kujitosheleza kwa chakula ndip maana WFP wako Kenya permanent. Acheni misifa ya kijinga. Kwanza mjitoshelesha mahitaji ya msingi ndio tuwaelewa.
 
This is why i say geza is the silliest of them all

bongo-live come and explain to geza what they mean when they say GDP in millions cause u seem to understand simple math and if i try this thread could go 7-10 pages because geza is a bad loser


geza when they give you

64.688and say GDP IN MILLIONS U SIMPLY ADDED 6 ZEROS TO THAT NUMBER after the FACT/LAST digit this.... is what i usually say most people hapa have not been to a business class hata siku moja
= 64,688,000,000


geza kalale
hahaaa statistics are not a walk in the park to many folks, if u never drew enough graphs, things will always be fogy
 
Kuna mataifa matajiri zaidi ya mara kumi kutuliko lakini hawawezi kujilisha wenyewe kwani nchi ni jangwa eneo kubwa. Kina Saudi Arabia, UAE, Qatar, Kuwait, etc. Hata mababe wa Africa kama Algeria, Libya na Egypt hununua kutoka nje asilimia kubwa ya mahitaji yao kimlo. That doesn't make any of the above countries below nations with larger tracts of arable land such as DRC, Uganda etc.

Only around 10% of Kenyan land is arable, 65% of it is ASAL where as the remaining portion of land is settled and occupied with villages, towns and cities. That means we produce as much as we can using the 10% (the portion is among Africa's most successful agricultural producing area) and import any deficit that arises. Sometimes even being able to not just cater our needs as a country using this 10% but also export a surplus.
 
Lakini Purchasing Power Parity ya Ethiopia iko chini sana
Ndugu hizi economy on papers nyingi hazioneshi uhalisia wa maisha...

Kwa nini usijiulize kuwa Kampala imechaguliwa kuwa ni jiji bora la kuishi katika kanda yetu na kuiacha Nairobi na pia dar !!!!....

Ila hata hivyo Ethiopia yapaswa kupongezwa maana imekua kwa double digits na kuisuppress Kenya was only a matter of time..

Just take few comparisons , utaona kuwa nchi hizi zinarandana na pia Ethiopia kuwa na population size kubwa ni additional advantage
 
Country GDP 2016 in current US$ millions

70 Guatemala 68.142
71 Ethiopia 67.435
72 Kenya 64.688
73 Uzbekistan 61.649
74 Luxembourg 60.176
75 Costa Rica 56.908
76 Panama 55.755
77 Uruguay 53.145
78 Lebanon 52.797
79 Oman 51.679
80 Croatia 49.928
81 Bulgaria 49.364
82 Tanzania 45.899
83 Belarus 45.887
84 Tunisia 43.989
85 Slovenia 43.791
86 Macao SAR 43.623
87 Lithuania 43.024
88 Democratic Republic of the Congo 41.207
89 Jordan 39.795
90 Libya 39.315 0.053 48
91 Ghana 38.171
92 Serbia 37.381
93 Yemen 37.308
94 Turkmenistan 35.398
95 Azerbaijan 35.141
96 Côte d'Ivoire 34.668
97 Bolivia 33.983
98 Cameroon 30.296
99 Bahrain 30.079
100 Latvia 28.177
101 El Salvador 27.327
102 Paraguay 26.804
103 Uganda 24.995
104 Estonia 23.847
..................
138 Rwanda 8.490 0.011 9


Country 2015 GDP PPP Per Capita in International Dollars.


São Tomé and Principe 3,126
Cameroon 3,123
Kenya 3,083
Lesotho 2,616
Tanzania 2,590
Senegal 2,431
Mali 2,428
Chad 2,171
Benin 2,110
South Sudan 1,850
Uganda 1,825
Zimbabwe 1,794
Rwanda 1,759
Burkina Faso 1,659
Ethiopia 1,626
Sierra Leone 1,591
Gambia, The 1,585
Unfortunately we are 159 per capital, nchi inapesa Ila Watu wake masikini
 
Jambo la muhimu unatengeneza sh ngapi kwa siku week au mwezi....je icho kipato kinakidhi mahitaji yako?......kushadadia GDP ya nchi wkt huna unachofanya ni ujinga!!
 
Inwhich uganda's economy is almost a half of tanzania's.....what a huge different that deserves much of your attention

Giants on making....True giants on papers... Hivi GDP kubwa bila well being of people inasound !!!!!!......

Hahaaaaaaa sometimes some Kenyans mnakuwa so pathetic...huwezi kumkuta mtanzania anajitapa kuwa uchumi wake ni sawa na Uganda, Burundi na Rwanda combined...
Senseless

By the way huwa nakubali kuwa mpo ahead of us lakini not that much far compared to the true giants of Africa's economy
Tanzania is a much bigger country than the three combined that's why there is no pride in beating them by a few billion dollars in GDP.
 
This is why i say geza is the silliest of them all

bongo-live come and explain to geza what they mean when they say GDP in millions cause u seem to understand simple math and if i try this thread could go 7-10 pages because geza is a bad loser


geza when they give you

64.688and say GDP IN MILLIONS U SIMPLY ADDED 6 ZEROS TO THAT NUMBER after the FACT/LAST digit this.... is what i usually say most people hapa have not been to a business class hata siku moja
= 64,688,000,000


geza kalale
so kwa mahesabu yenu 64.688.28 inaandikwa hivyo? na si 64,688.28? How do u explain of Libya n Rwanda figure?
 
Tanzania is a much bigger country than the three combined that's why there is no pride in beating them by a few billion dollars in GDP.
Woow that's nice of you....
The bigger the nation, the higher the economy...
 
Woow that's nice of you....
The bigger the nation, the higher the economy...
The bigger the country (Populationwise and resourcewise), the more resourceful it is, the greater the chance that it has a bigger economy. Apparently Tanzania has never taken advantage of that.
 
The bigger the country (Populationwise and resourcewise), the more resourceful it is, the greater the chance that it has a bigger economy. Apparently Tanzania has never taken advantage of that.
Why do you think so
 
Nivizuri umejisahihisha mwenyewe
lakini its a fact that what ethiopia imports is more than uganda,s.sudan,rwanda combined..... so hata tukikosa kujenga reli au pipeline, tunahitaji kuunganisha na ethiopia tu! na tutacounter project nyengine yoyote ambayo nchi zengine hapa EA zitakua zimenyakua
 
Data na vigezo wanavyotumia wachumi kupima ukuuaji wa uchumi uwa ni upuuzi mtupu. Havi-reflect realty on the ground. Tanzania kupanda ni kwa sababu ya uwekezaji kwenye madini na gas, but how have you benefited from these investments? Hakuna. Angalia Ethiopia, kila mwezi mnakamata waethiopia wanaikimbia nchi yao kwa sababu ya umaskini uliokithiri, still flying on top. rubbish. Remember GDP inapimwa kwa volume of goods and services produced in a country during a particular year.
 
lakini hizi figures si factual, hata ethiopia iwe inakua kwa kiasi hicho cha avg 10% hawawezitoka from 49$billion last year to $67 baada ya miezi kumi na mbili...

in reality tanzania uchumi wake si 45.9 bali ni 48.06 in 2016

luxemburg uchumi wao ni $64billion

tunisia ni 48.6$ billion

Ethiopia uchumi wao ni 55.6$ billion up from 47.6 last year (use that to get the growth rate)



kenya gdp came from 54$billion last year to $60.9 this year, ukipiga hesabu utaona imefanana na economy growth iliotangazwa officially..


hizo zengine hapo juu naona wametumia unconventional means ku calculate gdp ndo nchi zengine zinashukishwa na zengine kupandishwa ama pia inaeA kua wakakosea tu


lakini ule uchumi tunafaa kuangalia ni wa drc congo, hao watu wako na minerals worth more than the economies of US and EU combined, wakiacha vita hakuna muafrika atAmshika, sote tutaona kivumbi
 
Back
Top Bottom