Recent content by Taribo West

  1. Taribo West

    JamiiForums Tanzania FISTON KALALA MAYELE

    Tayari kaweka mbili nyavuni
  2. Taribo West

    JamiiForums Tanzania FISTON KALALA MAYELE

  3. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa serikali ambaye Take home yake ni around Tsh 450k, 500k na kuendelea, sikia hii

    Take home ni hiyo 450k mpaka 500k ila ukichunguza matumizi yake ni kasongo, yaani pesa unayopokea kumbuka hata kiwango cha changamoto zake zinakuja kwa level ya mshahara unaopokea na ukishindwa kuzihandle hata 10000 hautatunza.
  4. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Orlando Pirates watashangaza watu au safari yao ya kutoka inanukia?

  5. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Je tunafahamu watoto wetu wanakula vyakula gani mashuleni?

    Mtoto unapishana nae anakuwa ananukia umbuzi mwingi mpaka unakuwa unajiuliza haya mambo kaanza lini tena
  6. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Je tunafahamu watoto wetu wanakula vyakula gani mashuleni?

    Ndo maana siku hizi vitoto vidogo vifua vimenyanyuka
  7. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Kaangalie series moja ya kikorea inaitwa THE HOLY BETRAYAL utajua mengi kuhusu uanzishwaji wa makanisa pamoja na yanayotendeka nyuma ya pazia mule makanisani.
  8. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Tajiri haongei hadharani yeye ni vitendo tu ila boss lazima aongee mtajuaje sasa kama ana mali?
  9. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Kuna tofauti ya tajiri na boss.
  10. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Tutafuteni hela tu.
  11. Taribo West

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hutaki kugawana Mali zako halafu unafunga ndoa, una akili sawasawa KWELI? Ni Bora usioe tuu!

    Mwanamke ni mtu fulani ambaye muda wote anahisi kusaidiwa.
  12. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Vijana changamoto mtaji

    Source ya mtaji ni wewe mwenyewe.
  13. Taribo West

    JamiiForums Tanzania Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Mkuu umeeleza vizuri sana aisee kweli kila mtu ana talent yake na hakuna anayemuona mpuuzi hiyo ni kweli.
Back
Top Bottom