Recent content by Targeter

  1. Targeter

    Agiza filamu uletewe hadi nyumbani

    4500? Bando LA 1500 Si na download mamovies kibao acha utani wewe angalia mwenyewe au peleka mlimani city ila Wa geto hatutakagi kwa Hiyo bei
  2. Targeter

    UPDATES: Madhara ya mvua inayoendelea kunyesha Tanzania katika picha

    Jamani kwa Mwenye taarifa juu ya mvua popote tuambizane hasa juu ya barabara na madhara yaliyo jitokeza nchini
  3. Targeter

    Natafuta Soko la asali Dar

    So Lita moja 8000/=
  4. Targeter

    Maswali niliyoulizwa na mke wangu

    Satellite ndio msaada wakuchorea sio kichwani pia kufundisha kila Tr anakua anajua lake hivyo wakiungana kinatokea something
  5. Targeter

    Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Mh unaweza ukipotea hivi hivi na hukumu za wengine ngoja nipite tuu nisijekua itwa asiyejulikana
  6. Targeter

    Mdogo wangu hajala siku ya pili form zake za mkopo hazitoki anaambiwa network busy wiki ya pili Sasa

    Ndio wewe fungua net utalog in kwani hii sio lazima afanye yeye ila akuambue details za kulog in ili uendelee ila kila step unamuuliza kama huna details zake Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Targeter

    Mdogo wangu hajala siku ya pili form zake za mkopo hazitoki anaambiwa network busy wiki ya pili Sasa

    Wewe unaweza msaidia kujaza kwani hujazwa online hivyo utalog in kisha unaendelea alipohishia mpaka step ya mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Targeter

    Msaada kwa Kozi ya certificate in secretarial

    Je kama hazijatimia itakuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Targeter

    Nimefanya application sua ila sijaweka picha, inaweza kuniletea shida baadae?

    Sure bora uiweke ili ujiweke safe area kwani ukikosea ndio pesa imechapa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Targeter

    Msaada kwa Kozi ya certificate in secretarial

    Kwa yeyoteanaefahamu CHUO chochote Moshi sana au Arusha kinachotoa kozi ya certificate in secretarial naomba anijize .pia mfano MTU kapata d3 na anataka Hiyo kozi je ataipata Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom