Recent content by taqwa man

  1. T

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Mshana ndugu yangu mi kibarua changu ni kusafirisafiri je nikichukua vitunguu swaumu vikubwa kama vitano vikamenywa na kutwangwa,kisha nikachanganya na asali kama vikombe viwili vya chai na ndimu kama tano,alafu nikachukua mchanganyiko huo nikaweka kwenye chupa ili nikisafiri niwe nachukua kiasi...
  2. T

    Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

    Wahayaa wahayaa mtulipeee faini zetu,uzaifu unaanzia mnapoenda kutailiwa kwa kuchomwa ganzi mmeupeleka hadi kwa wamama yomaweeee!!!!
  3. T

    Ushauri wa bure kwa Mbunge Musukuma(CCM)

    Na kama msukuma ni mtu safi kwa nn hajayaanika mabaya ya RPC huyo siku zote?hadi awekwe ndani ndio aseme?
  4. T

    Ushauri wa bure kwa Mbunge Musukuma(CCM)

    Acha wajile wao kwa wao
  5. T

    Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

    Fanya yako ndugu
  6. T

    Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Inauma sana tumwombe mungu amfanyie wepes Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Zitto kabwe; Nipo tayari kugombea urais kupitia umoja wa vyama vya upinzani nchini

    Zitto huyu huyu tumjuae au kuna mwingine? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    Uhuru J. Kenyatta ni mwanademokrasia?

    Sio mwanademokrasia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    Afande Sele atoa ya moyoni kuhusu 'Seduce me' na 'Zilipendwa'

    Kiukweli umesema nami nimeufuatilia sana kiba anapewa sana promo na media lkn kikazi mond yuko vzr,na ndio maana kiba anavuma Tz lkn kimataifa havumi hongera mond Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Kamanda Mambosasa: Katika kipindi changu hakuna askari kumkamata mtu kwa 'order kutoka juu'

    Huyu alukua dodoma mala ngapi akina tundu lissu wanakamatwa toka bungeni na hakuwahi kuongea chochote?au anadhani watanzania wa sasa ni wakudanganywa danganywa tu? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam anaomba mchango wenu katika ujenzi wa choo na ofisi za shule

    Jamani huyu mkuu wa mkoa taarifa zake hazistail kua humu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    Nauza pikipiki boxer BM 150

    Mbona hujibu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom