Recent content by Tanzanian boy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya 5 imezidi kutuonea kuhusu swala la mkopo

    dah nmevumilia BT no way ...let m give up...kambi popote IPO day coz xion value ya eduche yang
  2. T

    JamiiForums Tanzania HESLB mbona hawaeleweki sasa

    yan kimya dah
  3. T

    JamiiForums Tanzania APPEAL

    daah naona upepo wa appeal n mgumu pia bt Wenda tukapata
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iangalie upya suala la mikopo vyuoni

    Dah! Yaan sitasau mwaka huu, nimekomaa nikafaulu mkopo hakuna
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuangaliziwa iwapo nimepata mkopo tafadhali

    daah ongera mkuu...wengne bado tunaisoma
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hii naomba iwafikie bodi ya mikopo(HESLB)

    jamani ivi kuna batch nyingine? Mara nasikia majina 25 elfu yamekamilika mara bado elfu 3 ivi ukweli ni upi katika hili....msaada kwa anaejua chochote
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hii naomba iwafikie bodi ya mikopo(HESLB)

    Yaani jamani watuhurumie, tuliokosa mkopo wengi ni kutoka familia masikini.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mkopo

    Habari yenu wana jamii forums napenda. kujuzwa kwa yeyote anaejua habari za Mkopo hivi ndo kusema Yale majina elfu 25 yamekamilika?? au kuna batch nyingine? maana nasikia tu yamebaki elfu 3 Mara tayari please mwenye uelewa na hili msaada nisije komaa kusubiri appeal yang au majina hayo elfu 3...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mh. Ndalichako, Joyce.

    wahanga tuko wengi ..nami nipo hapa udom mambo si mambo ...eeh Mungu tunusuru mafukara ...imefika time najutia kusoma kabisa bt nmeappeal uku nikisubiri hayo yaliyobaki ...Mungu ni mwema hakika atatenda ndugu tusikate tamaa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo na utoaji mikopo

    tumechinjwa wengi balaa...huu mwaka najutia form 6 yangu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Elimu Ya Juu Watengewa Bilioni 483 Za Mikop

    daah jaman watu tunasota adi wengine wamerud om afu mtu anashabikia daah oneni huruma adi February uko ndo majibu hapo mtu Asie nacho si anarudi om...eeh Mungu tunusuru
  12. T

    JamiiForums Tanzania Suala la mikopo ya elimu ya juu nchini wanafunzi wakosa mtetezi

    inauma sana naona ndoto zangu zimezimwa kuxoma chuo sina budi kuharisha chuo nilikomaa na kuacha harakat zote nikiamini faraja ipo Kumbee naungua
  13. T

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la vyuo elimu ya juu latoa siku 7 kwa Serikali kutatua changamoto za wanafunzi

    huuu mwaka najutia form 6 yangu ciamin kabisa yan nimechinjwa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki, HESLB rudisheni pesa za Diploma Holders.

    hata sisi wa private candidates tumechinjwa daah nipo udom nimeamua tu kurudi om nikavue samaki ...mza
  15. T

    JamiiForums Tanzania HESLB yafafanua vigezo utoaji mikopo, Waliokosa sababu zatajwa, wapewa nafasi ya kukata rufaa

    ndo zimezimwa kabixa yan ...kila day not allocated daah
Back
Top Bottom