Stevenbee
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 365
- 449
Afu vitu vingine tujiongeze jamani hapa kuna baadhi ya vyuo vimepewa sana favour huku vingine maumivu tu kwa mfano pale SUA wametoa hadi second batch...UDSM pale na other's ila ndugu zangu wa makumira first batch majina 200 tu out of 2500+ pale mwalimu nyerere 150 tu out of 2000+ unataka kusema hawa wote hawakuweka taarifa sahihi au walisoma private??hii si kweli huu ni uonevu mkubwa

