Recent content by tanzaniadaima

  1. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Hili ni jambo jema. Tunaita kuiba Mbingu kama yule jamaa aliyesulibiwa na Yesu pale golgota alivyoambiwa “hakika leo hii utakuwa nami paradiso”
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayotokea Kenya lilikuwa kosa la kiufundi CHADEMA kumuunga mkono Kenyatta

    Kwani lazima wote muwe CCM au CDM? Kaanzisheni vyama vyenu ambavyo viko perfect
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto

    Pole sana mheshimiwa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanamke auawa kikatili

    Masikini weee.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lazaro Nyalandu Amjulia Hali Tundu Lissu Jijini Nairobi

    Huyu hajaenda kwa kujificha
  6. T

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mtu hata kichwa hakionekani halafu mtu mwingine anataka kumfahamu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Taasisi na Mashirika ya Umma kutoa pongezi kupitia Vyombo vya habari liangaliwe upya

    Napenda kumpongeza kiongozi wetu JPM kwa kubadili stail ya maadhimisho ya uhuru ili kupunguza mzigo kwa walipa kodi na pia kufanya mambo yenye mshiko kwa taifa. Kuna maeneo mengi tu ambapo hela za walipa kodi zinatumika hovyo. Nawaachia wengine mtoe mifano mingine lakini mimi naangazia matangazo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli akitaka kufanikiwa aondoe System yote ya JK

    Magufuli anza kuchunguza uraia wa watu wako.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    kwa nini wasiziache tu hizo Chopa? mbona kilomita za lami ziko nyingi tu???? :plane
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa

    Hapo umewasaidia, kama wanasoma JF natumaini kesho tutasikia mawaziri wote wanaitisha vyombo vya habari kutangaza tarehe za kuweka majiwe ya msingi nami nitawapa kura, lakini majiwe ya msingi hayatoshi. mnaona barabara zetu nyingine zimeachiwa katikati, hadanganyiki mtu ngo'
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa

    Ukiuliza hayo tena unataka matatizo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wenye Mpango wa Kuuga Ukapera angalieni Hii

    This way unaweza kuandamana against yourself. Watchout:tongue:
Back
Top Bottom