Ndege imenunuliwa kwa 100m USD rejea mazungumzo ya JPM na mkurugenzi wa Masoko boeing aliposema wameshalipa advance ya 10% sawa na 10m USD? Kosa kama hilo haliwezi kufanyika awamu hii ! Hakuna dalali kipindi hichi!
Kumuondoa waziri mkuu ???? Sidhani kawa wako serious ....Ukiona wabunge wanahaha ujue madili yamekata.......Waziri Mkuu anatumiwa kama daraja tu anayelengwa ni JPM mwenyewe. Vita dhidi ya unga??? Vita dhidi ya viroba??? Inaweza yakawa ni maneno tu ya mtaani. By the way Majaliwa anamsaidia sana...
Kila chama au kundi la watu lina kanuni zake, Lowassa anapowaaminisha watu waliofukuzwa wameonea hayupo sahihi. Mwanachama anapokuwa masaliti kwa chama adhabu yake ni kuvuliwa uanachama. Zitto Kabwe alivuliwa uanachama Chadema , Kitila Mkumba alivuliwa uanachama Chadema...juzi juzi Prof. Lipumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.