Recent content by Tanzania

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

    1. Mafisadi na wazembe wameshugulikiwa. 2. Matumizi mabaya ya rasilimali za taifa yamekomeswa
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

    Vizuri kuwa na akili kubwa, lakini kama akili hiyo iliweza kuwa sababu ya vifo vya wakenya, inakuwa haina maana hata kidogo.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

    Naamini hakuna vikao kama unavyotaka tuamini. Lakini pia hata kama kungekuwa na vikao, bado nisingetegenea kulisema kwa manufaa ya mahusiano yetu na Kenya, na hata kwa wakenya wenyewe.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    AMINA, NA IWE HIVYO. TUNAMUOMBEA UZIMA, HEKIMA NA UVUMILIVU. WATAMUELEWA TU KAMA SIYO SISI, BASI WATOTO WETU.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aache kupoteza muda kwa kuleta nchini viongozi wasio na tija!

    Asante sana, kwa majibu yenye hekima.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ni hazina kubwa ya uongozi, aache tu "uswahili"!

    Mimi mnanichanganya. Tamaa ya pesa na madaraka ni simu kubwa kwa nchi. Bado tu mtu huyohuyo mnamuona kama angeweza kuwa kiongozi mzuri. Kifupi Hatufai hata chembe.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ni hazina kubwa ya uongozi, aache tu "uswahili"!

    Uswahili ni nini? Nilifikiri kutukowa mswahili ni sifa muhimu sana ya kiongozi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tupia hapa salaam zako za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya kwa Rais Magufuli!

    Mh. Rais JPM, tunakutakia Hery ya Krismas na Mwaka Mpya 2017. Tunakuombea Mungu akupe Uzima wa Rohoni na Mwilini, ili uendelee kulitumikia hili taifa. Tunaomba usikate tamaa na maneno na unafiki wa Watanzania wachache. Wengi wao ni wapiga dili. Tunakupenda sana.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wauchambua utawala wa Rais Magufuli

    Asante sana kwa taarifa nzuri. Mimi binafsi sikutegemea nitafikilia kufanya biashara. Katika awamu hii ninajipanga kutafuta mkopo nifanye biashara.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wewe nu M Rais hakuwahi kusema serikali inahamia Dodoma mara moja.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli utakumbukwa kwa lipi kama tu vita juu ya ufisadi umeachwa mbali na Kikwete?

    Acha Kufanya Propaganda. Hutafanikiwa, kwani Mungu yuko upanda wa watanzania ambao Rais anawatetea.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aporomoka umaarufu: Asilimia 50 tu waridhishwa na utendaji wake! Inaogopesha!

    Kwa wapigaji SAWA. Ila kwa Mtanzania mwenye akili timamu, Rais wetu YUKO VIZURI SANA. Mungu akutangulie Rais, usikate tamee. Tuuko nyuma yako tunakuombea
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanaomkwamisha Rais kwa sasa wamo Mawaziri, Wakuu wa mikoa..!!

    Sasa na wakati wa utawala wa mwinyi ni wakati gani nchi inaenda kama gari bovu?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Mafisadi hawana na hawatakuwa na furaha for the next 10 years. Watanzania tulio wengine tunamshukuru Mungu an tuna rafuraha sana.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Raisi wangu Magufuli wewe sio mfanyabiashara, kauli zako zitaua biashara nchini

    NOT TRUE. Maneno maneno yenu hayatabadiri alichokipanga Mungu kwaajili ya Taifa hili.
Back
Top Bottom