Tembo ni miongoni mwa wanyama pori wanaopatikana kwenye hifadhi nyingi hapa Tanzania ikiwemo hifadhi ya Ruaha
Ripoti zinasema kwamba mauaji ya Tembo yamezidi kuongezeka kwa kasi kubwa hasa maeneo ya hifadhi ya Ruaha, ambapo idadi ya Tembo dume imepungua sana kadri miaka inavyoendelea kwa kuwaua...
Kwa wale waliosoma masuala ya geography, na sayansi kwa ujumla, mnakaribishwa MWEKA chuo cha Utalii kinachotoa elimu ya utalii na kukuhakikishia ajira pindi umalizapo masom yako pia field kwenye hifadhi za Tanzania.
Chuo kipo Moshi mjini.. Wote mnakaribishwa sana.
Tanzania Utalii Dialogue...
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha upekee wa Hifadhi ya ZIWA MANYARA ambayo :
1.Hifadhi pekee na maarufu sana ambayo Simba wake wanapanda miti. Aina hii ya Simba hupatkan ZIWA MANYARA pekee barani Africa.
2.Pia hifadhi ambayo ipo ndani ya Bonde la Ufa, ambayo kingo zake zinaongeza mandhari...
Tanzania Utalii Dialogue ni asasi ambayo inalenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania. Tuna andaa mijadala, midahalo na safari mbalimbali za kujifunza vivutio vyetu Tanzania. Karibu tukadiliane kuhusu Utalii wetu.
Je, nini kifanyike kukuza Utalii wetu, ukiwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.