Recent content by TANZANIA NAKUPENDA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Hatuwezi kuwa ni nchi ya watu wote waoga. Watumishi wa Umma waoga; wanasiasa waoga; wananchi waoga! Viongozi wa dini waoga!!!! Haiwezekani.. Mungu hawezi kuruhusu. Lazima ainue kinywa chenye ukali kitakachoweza kusema!!! Itakuwa unafiki na uongo wa hali ya juu kusema Gwajima ana siasa za...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Dr Slaa amtembelea Askofu Gwajima mchana wa leo 30/3/2015 hospitalini TMJ. Viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kumtembelea askofu Gwajima aliyelazwa hospitalini TMJ Baada ya kuzimia akiwa anahojiwa na Polisi. Mchana wa leo Mwenyekiti wa chama cha CUF prof Ibrahimu Lipumba alimtembelea...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital. Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagonjwa mahututi,(ICU).
  4. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    hahahahaha.. aliyekuwa..akajiuzulu..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Imezinduliwa Lifti Mbeya ndio ije kuwa helikopta boss? Acha wamtukuze Mungu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Daaaaaaah.. Leo naona kawe hapatoshi. Gwajima hongera sana...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Lowassa amewasili hapo Kawe....naye kala shavu...makofi kibao nini...tehe tehe
  8. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Daaaaaaah mkuu. Tuna ushahidi lakini? Tujifunze kufurahia mafanikio ya watu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Daaaaaah....unayo bosi?? waache wamshukuru Mungu kwa hako kadogo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Inazinduliwa leo my friend. Ukipita leo.hapo Kawe hapatoshi... Anazindua Lowassa. what a move aiseeeee.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Leo Kawe kumependeza naona!! si mchezo..kiukweli katika watu ambao SI maneno matupu ni huyu Gwajima. akiahidi analitimiza!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Pinda kuzindua chopper ya Gwajima

    Naamini anaizindua Lowassa???siyo?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Waimbaji ni wengi. Ametoka kuimba Flora Mbasha na Boniface Mwaitege... Atakuwepo John Lissu pia..
Back
Top Bottom