Recent content by Tanzania mpya 2015

  1. T

    Hatimaye mama Maria Nyerere ampigia kampeni Magufuli

    Bibi yetu amechelewa, jua limeshazama na ccm itabaki tu kwenye vitabu vya historia.
  2. T

    Mitandao ya simu za mkononi inatuibia

    Wote ni wezi tu, si Airtel, voda na tigo wote ni wizi mtupu hasa mb wametubania sana
  3. T

    Tafakari: Nini tafsiri ya vikao vya siri vya CHADEMA na matumaini ya ushindi

    Wamezoea kudanganya watanzania kwa propaganda zao. Mwaka huu hatudanganyiki. Lowasa huyoooooo Rais 2015
  4. T

    Tanzania has highest renewable energy potential in Africa

    Hii ndo sura ya Tanzania ya ccm, watanzania wakati wa mabadiliko umefik, tunataka Tanzania ya mpya, nchi ambayo wakazi wake hawatalia kwa njaa wala kiu, wala hakutakuwa na mtu aliye juu ya sheria, wakati huo ufisadi hautatajwa kwetu wala wasomi wetu hawatarandaranda barabarani na mabahasha...
  5. T

    Kwanini Huenda UKAWA Wameshashindwa Uchaguzi Huu Kabla ya Kufanyika!!

    Subiri kampeni izinduliwe ndo muongee, naona mmejiwahisha sana.
  6. T

    Lowassa, anguko la upinzani nchini na hadithi ya bora shetani nimjuaye kuliko malaika nisiyemjua!

    Mh Kigwangalla wewe ni moja wa wanasiasa vijana ambao nina imani nao, hasa ulipotoa hotuba ile ya kutangaza nia ya kugombea urais kupitia ccm, niliona wazi kuwa una ndoto nzuri na taifa letu. Lakini kwa hili la kuudanganya watanzania sikuungi mkono huu ni wakati wa mabadiliko, miaka 50 chama...
  7. T

    Mbeya waapa kumkata Lowassa kwa mara ya pili

    Toa hoja ya mshiko mkuu
  8. T

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Hayo ni matusi, baada ya kuwanyanyasa mama ntilie miaka yote hamsini bado mnataka kura zao na hali mnawadharau kiasi hicho? Maisha yao yamekuwa magumu kwaajili ya hiyo CCM yenu na bado mnawatukana kwa kuwaona kuwa hawana hadhi ya kufika hotelini. Kwa taarifa yenu, watanzania kwa pamoja tumeamua...
  9. T

    Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Wanajifariji ktk hamna, ushindi wa ukawa hauwezi kuzuilika kwa propaganda. Muda wa akili ndogo kutawala akili kubwa umeshapita. Jiandaeni tu kumpokea Rais mpya wa tz kupitia ukawa 2015
  10. T

    Mashabiki wa Lowassa, mmeyafikiria haya?

    Lowasa alifikiri anaweza kuubadilisha mfumo dhalimu wa CCM akiwa ndani ya mfumo huo, sasa amejua ukweli ndo maana kaja ukawa, watanzania msiwe na shaka naye. Lowasa sasa hana unafiki ndani yake
  11. T

    Samia: Tanzania ina chuma itakayovyunwa miaka milioni 200

    Wakawadanganye wapumbavu na malofa wanaowajua wenyewe, watanzania hatudanganyiki
  12. T

    Magufuli: Watanzania mtapata hela nyingi, Samia: Tutagawa 50mln kila kijiji!

    Mmmmh hana shida tena, ameshafanikiwa kuizika elimu yetu kwa kuingiza siasa ktk elimu. Sasa wao ndo wanaamua wafaulishe kwa division five au kwa GPA bila kujali na waathirika ni watoto wanaotoka ktk familia maskini huku wao wakisomesha watoto wao nje ya nchi kwa kodi zetu. Kama haitoshi wanafiki...
  13. T

    Tume Ya Taifa ya Uchaguzi yapinga zuio la kutumia viwanja vya Jangwani tarehe 29 Agosti, 2015

    Hatimaye wameshindwa kupambana ma nguvu ya umma, peopleeeez ........poweer...........
  14. T

    Prof. Mwandosya amchana Mkapa

    Waite majina yote mabaya kadiri wawezavyo ila tunawapa pole maana wamechelewa. Watanzania wanajua wapumbavu na malofa ni akina nani! Mfa maji siku zote haachi kutapatapa ndivyo ilivyo CCM na viongozi wake. Tunamshukuru mzee Mkapa kwa kutuongezea mtaji wa kisiasa.
  15. T

    1.8 million-year-old hand bone similar to modern day human discovered in Tanzania

    Huu ni mwanzo tu, wakati umefika wa watanzania kufaidi neema ya nchi yetu.
Back
Top Bottom