Hivi watanzania, hizi akili za kipumbavu zilitoka wapi?. Mtu msomi ambaye taifa linakutegemea, na wewe una shadadia, eti mama kaongezq boom kutoka 8000 to 10,000. Hivi akili zako zinajitosheleza wewe, una uhakika uchumi wa 2015 na 2025, uchumo unafanana, inamaana wewe huelewi economy gap kila...