Recent content by TANZAGIZA

  1. T

    Simu za Rais haziwi screened, Liyumba aenda hewani toka gerezani

    kwani kikwete hakimu au sheria..? mbona hampeleki lowasa, rostam au chenge? we vipi.....ndio mwisho wa akili yako na mwanzo wa uelewa wako hapo?
  2. T

    Nape vs Lowassa

    no man standing will dare touch lowasa nepi he is rat in the middle of cats, make my word
  3. T

    MKURABITA ni Nini jamani

    Ni mkakati wa kuongeza umasikini, rushwa, aibu, biashara haramu tanzania...huo ndio mkurabita na yes wamepewa tunzo ya ufanisi bora wa ufilisi tanzania
  4. T

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Inakuaje m'bunge atolewe njee ya ukumbi wa bunge pale anapotetea maslahi ya taifa,? Kweli ina maana gani ya kuwepo wabunge wa upinzani bungeni? Ni aibu tupu. Mh. Lema, lisu na mchungaji wametolewa njee ya bunge kwa kusema tanzania haina amani bali ni nidhamu ya uoga? Nini kazi ya wabunge wa...
  5. T

    Madiwani watano CHADEMA waomba radhi

    Hahahaha kumbe watu WA ban tuko wengi.....mood bora hata usimpige mtu ban maana haisaidii kitu...angalia malaria sugu anA id 63 mimi nimefikisha 4 na wengine ndio usiseme hahaha hii imekaa vizuri kweli
  6. T

    Madiwani watano CHADEMA waomba radhi

    Cha magamba sio???
  7. T

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Juzi nigeria spika wa bunge aliingia chini ya meza uku akifunika macho yake yasitobolewe wakati wabunge wengine wakitwangana makonde kila mtu na wake hakukuwa na mtu wa kumuamulia mwenzake natamani yatokee dom sijui ilopicha litakuwaje
  8. T

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    Je yeye ndio ungekuwa wewe unadhani ungeweza kumiliki 1.5 hct na saloon...? Kama hana hela account zote hizo za nini sasa? Iyo ni vunga mwanangu maana hata mimi ningekuwa japo mtoto wa magufuli nisingeweza miliki viuchafu kama ivo
  9. T

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    Wewe tumekuzoea kama unaweza simama na kutetea (a) kuwa ni (c) huna jipya
Back
Top Bottom