MKURABITA ni Nini jamani

MKURABITA ni Nini jamani

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Jamani wanajamvini naomba nijue nini maana ya MKURABITA maana kuna muda naisikia kuna muda haipo juzi hapa nimesikia imeshinda tuzo ya kimataifa ya Public Service. ila hapa kwetu hawatambuliki kama ambayo ilivyo hapa nchini kwetu.
 
Ndugu yangu MKURABITA ni kifupi cha "Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania"
 
Ni mkakati wa kuongeza umasikini, rushwa, aibu, biashara haramu tanzania...huo ndio mkurabita na yes wamepewa tunzo ya ufanisi bora wa ufilisi tanzania
 
Ni ile mikakati ya kutafuna mshiko inayoanzishwa kila leo huku wananchi wakibaki maskini.
 
Back
Top Bottom