Recent content by Tanzafarm

  1. Tanzafarm

    Yanga yatakiwa kumlipa Luc Eymael Sh. 340m, wakishindwa kufungiwa kusajili

    Huyu kocha si yule aliyewaita yanga masokwe watu?
  2. Tanzafarm

    Soko Ubungo kuiua Kariakoo

    Nchi ngumu sana hii
  3. Tanzafarm

    Sarakasi za bima ya afya: maskini tusipozingatiwa tutakufa

    Wewe wasema sisi maskini ni dogiz
  4. Tanzafarm

    Sarakasi za bima ya afya: maskini tusipozingatiwa tutakufa

    Nianze tu kwa kusema suala la afya katika taifa lolote ni suala la usalama wa kitaifa kwa kua pamoja na mambo mengine nchi hutegemea ustawi wa wa watu wake ili kujipatia maendeleo yake Wananchi katika nchi ni sawa na ng'ombe na mmiliki wa ng'ombe hao bilashaka ni serikali na ng'ombe ambao...
  5. Tanzafarm

    Nchi Imefunguka! Je Saalah Na "GSM" Ndio Ufungukaji Wenyewe?

    Umeandika kwa uchungu sana mimi nimekuelewa hasa hili la vivuko na soko la kariakoo????? Kuna wakati Nyerere alifoka kwa uchungu akimlenga Ben ya kwamba " mnabinafsisha mpaka benki ya taifa??" Benki ambayo mtaji wake wawezakua hata wafanyakazi wa serikali ambao mishahara yao hupitia humo...
  6. Tanzafarm

    Je, maswali haya yana majibu?

    Ki Mungu masuala ya sayansi ni illusion
  7. Tanzafarm

    Majibu ya kocha wa Zambia dhidi ya Mwandishi wa kibongo

    Kocha mwenyewe ni wa mmchongoma sijawahiona kutoka kuifundisha Chelsea hadi kua kocha mkuu huku kusini mwa jangwa la Sahara ni kufeli kulikotukuka mbwa wewe!
  8. Tanzafarm

    Vipers SC waikejeli simba SC kwa kuiita zuwena fc

    Wewe ni bar maid wa vipers
  9. Tanzafarm

    Namna ya kuonana na Rais

    Wwewe kazi yako ni kumchagua tu baada ya hapo wewe na yeye ni mbingu na ardhi mambo ya kuonana kamtafute balozi wako wa nyumba kumi au mngoje 2025 viwanja vita kampeni
  10. Tanzafarm

    Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

    Yanga ni watesi wake wakubwa "kwa sauti ya tundu lissu"
  11. Tanzafarm

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Hiyo kwa wenzetu ni channel ya vichekesho...tuna uhaba wa chakula tunaagiza Mchele nje kisha tunawahamasisha watu wa nje Walete Malori kuja kusomba chakula kwetu
Back
Top Bottom