Recent content by tansoma

  1. tansoma

    JamiiForums Tanzania Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

    Kwani FOMU ya KUOMBA RIDHAA ya UBUNGE KUPITIA CHAMA chake alichukua???
  2. tansoma

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

    WAROMA WANA SIRI KUBWA KATIKA UCHAGUZI WAO ILA KILA LA KHERI akichaguliwa ametuwakilisha wote watanzania
  3. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

    Hongera Kwa ushauriii huuu usiokuwa na chembe ya unafiki umengalia angle zoeetee
  4. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hili la usafi, hawa mabinti wa mtume wapewe maua yao

    Wakojeee
  5. tansoma

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nyumba 100 zimetelekezwa hapa ununio kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Je, nini kiliukumba huu mradi?

    Huo mradi wangu mm Najipangaaa Ukikamilika nitakuita tuu
  6. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Hongera umesema ukwelii mtupu Sitakuja kuoaaa
  7. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo ila mabinti wa Kiislam wanayajua mapenzi, kumuacha huyu binti nimeshindwa

    He hao wasanii wanamaaduli ya kiisilamu au no waisilamu jina????
  8. tansoma

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Ndoo maana naombwa pesa kila siku Mungu wasitiri Hawa viumbe
  9. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: A Woman of the people

    Nini kimetokea
  10. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Mkuu hongera Sana Tena Sana umeemfunika mleta madaa Wallahi nimeisoma 3 times
  11. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikimbusu mpenzi wangu anatema mate chini

    Chukua laki moja kabla ya kumpa akionana zibusu nae umwambie azibusiii Au temea mate kiasi kwenye noti A
  12. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: A Woman of the people

    Lara 1 Wewe ni bingwa Bigup sanaaa
  13. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

    Mtoa mada nakupa hongera Sana umeeangalia kila Kona ya ndoa Kwa mtu ambaye hayajamkuta utaonaa hii mada Haina maana Mkuu nakupongeza kwaa dhati kabisa umenipa kitu adhimu mkuu .
  14. tansoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

    Hakuna kitu Kama hicho .huu ni ukweli mtupu na pia Kama hayakusibu unaweza kuona mleta mada anaharibu ustawi wa jamii
  15. tansoma

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Kuna vitu umeongea vinamashiko makubwa Hata Hamza angepewa nafasii ya kuishi Kuna Jambo angeeongea Mungu awape wepesi wote waliopoteza wapendwa wao Vyombo vya usalama vilete majibu why Hamza aliwauwa polsi na hakutaka kuwamimnia risasi abiria wapita njia na wengine
Back
Top Bottom