Mimi ni Mkristo ila mabinti wa Kiislam wanayajua mapenzi, kumuacha huyu binti nimeshindwa

Kitu kutoka Pemba ankali😘🥰😍🤗
db72.jpg
 
Mkuu, mapenzi hayana uhusiano wowote na dini
Yanayo.Uislamu Umefafanua Kwa Mapana Sana Kuhusu Kila Kitu Mpaka Mapenz Jinsi Ya Kukaa na mume kuridhishana,Jinsi Ya Kuishi Kwenye Ndoa Na Kila kitu Uislamu Umeeleza Kwa Hyo Mabinti wa Kiislamu Wanafundishwa Akibahatika Kusoma Dini Na Kuweka Social Believe Pemben  Kwan Jamii Huona wanawake wanaojua Mapenzi Ni Kama Malaya La Hasha.
 
Unamaanisha wanawake wa upande wa pili wanamabwawa?
Hahahah.Hajamaanisha hivo.Katika Uislam Nadhan Na Kwenye din Zote tu tumekatazwa Kutaja Aibu Za Mwenza kwa Hiyo Kama Unaelewa Kwel Huwez Taja Aibu Za Mwenzako.Siko Kudhihak Deen Yyte But To Be Honest Waislam Wengi Wao Wako serious Na Deen Na Mafunzo That why Hata alivosema Upande wa Pili Huwa Wanalalamikia vibamia Maybe Ni true Lakn Sina Hakika.Pia Mbal Na Dini Sisi Ni watu tunaweza Fanya Lolote tukiwa Katika Dini Yyte.But Hakuna Dini Ilofundisha Mambo Mabaya
 
Wapo wasichana wengi tu wa kiislam ambao wana mtoto zaidi ya mmoja na baba tofauti na ni single mother. Anzia kwa wasanii wetu wa bongo hlf rudi mtaani
He hao wasanii wanamaaduli ya kiisilamu au no waisilamu jina????
 
Yanayo.Uislamu Umefafanua Kwa Mapana Sana Kuhusu Kila Kitu Mpaka Mapenz Jinsi Ya Kukaa na mume kuridhishana,Jinsi Ya Kuishi Kwenye Ndoa Na Kila kitu Uislamu Umeeleza Kwa Hyo Mabinti wa Kiislamu Wanafundishwa Akibahatika Kusoma Dini Na Kuweka Social Believe Pemben  Kwan Jamii Huona wanawake wanaojua Mapenzi Ni Kama Malaya La Hasha.
Anhh, ila hawa akina Aisha sijui wana shida gani?
 
Itakuwa ni madawa tu yamekukolea ipasavyo maana kwa mambo ya ulozi na ushirikina wengi wao hawajambo!
 
Naona watu mmeshindwa kumwelewa mwenye uzi wake.

Nijazie tu kwamba ukikuta mwanamke wa kiislamu dini imemkolea basi jua hiyo ni mwanamke kweli.

Kwajweli ukichukua mwanamke wa kiislamu na wa kimkristo; mwisilamu ana unafuu zaidi.

Kwamfano ukiangalia single maza asilimia kubwa ni wakristo. Mtanisamehe kwa hili.
hainaga formula
 
Back
Top Bottom