Recent content by Tano bora

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Wazungu walishadhibiti uchawi kitambo Sana miaka ya zamani sana
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Uchawi na uganga vinafanya kazi kwenye koo au kabila kama kwenye ukoo wenu hakuna wachawi basi uko sahihi kusema uchawi haupo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Wewe kama huamini kwamba uchawi upo waulize matajiri na Watu wenye mafanikio makubwa wanajua vizuri Sana nguvu za rohoni(mwanga na Giza)na wanajua namna ya kuzitumia na kukabiliana nazo.
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

    Tafuta mwingine ambae hakukatalii kwenda kwake
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

  6. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Lakini ulilipenda mwenyewe
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Upo kama Mimi tangu nijiunge 2015 hii ndo thread yangu yakwanza mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Ok
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Hilo halipingiki
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani. Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku ambayo chama cha mapinduzi,CCM kilitoa majina ya mchujo kupata TANO Bora ya mgombea uraisi mwaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Muamala CRDB

    Ili Ilinitokea pia siku moja nikaambiwa nisubir saa24 haikurudi nikaenda kwenye Tawi lao wakafanya yao baada ya muda ikarudi kwenye akaunti... So tembelea Tawi lao la karibu yako
  12. T

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional; Diploma in agriculture Experience;5yrs Location;Mwanza Contact;0676269601
  13. T

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional; Diploma in agriculture Experience;5yrs Location;Mwanza
Back
Top Bottom