Recent content by Tangotango

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Silly things women do in the name of love

    Message muhimu sana hii..hata mie nimeipenda..Kizazi hiki ni balaa mambo hayo kwa zamani naona yaliwezekana.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tununu

    Hahahahaaa..una utani na hao watu nini..ngoja wakusikie
  3. T

    JamiiForums Tanzania Simple rule to success

    Sikulijua hili...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Viagra

    Hii kali..huyu buibui hafai
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nature's Kiss

    Duh!haya..
  6. T

    JamiiForums Tanzania Sunday message

    Ujumbe mzuri sana..
  7. T

    JamiiForums Tanzania Roast ya maini

    Safi sana jamani...ngoja nikapike nione..nakukubali sana mama kwa mapishi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Majina Ya utani ya Utotoni

    Minjicho-mwenye macho makubwa.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya Maswali ya kuepuka kumuuliza mtu ikiwa hujaonana naye kwa muda fulani

    Aisee ni kweli kabisa..nilishawahi kuuliza baadhi ya hayo maswali..nikaishia kumkwaza mtu..dah!sitasahau.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Penny Amfanyia Suprise Heaven On Desert kwenye Birthday Yake

    Haya bana tumeona..hongera sana.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vision test

    Duh..hii kali.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Lulu aogopa ubonge aamua kuingia gym kupunguza mwili, tazama picha hapa

    Haya tunamtakia kila la heri..manake shughuli ya kupunguza mwili si mchezo!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Muangalieni Ester Mwakijambile wa bss 2013 kwenye moja ya show zake

    Dah..sio Ester mkuu...huyo sio Maina kweli?hata hivyo yule Mwakijambile jina lake ni Elizabeth.. Dah...ila hilo pozi ni hatari tupu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania balaa lingine la Lady jaydee..

    Daah..hiyo headline hatari!
  15. T

    JamiiForums Tanzania It speaks louder than words

    Ujumbe saafi...big up M.Kipanya
Back
Top Bottom