Werema ndo wakuomba msamaha kwa sababu kwanza kwa cheo chake akutakiwa kufanya kile kituko,pili yeye ni mtumzima nasikuzote mtu mzima uwa nabusara lkn kwa kituko cha wasira ameonyesha anabusara watoto wake watakuaje
Kabla sijaingia shule ya sheria nilikuwa nashangaa kuona wingu la wanafunzi wakifeli, lakini sasa baada ya kuingia nimeona kwa nini watu wanafeli. Sababu kubwa ni mrundikano wa masomo na ratiba.
We fikiria watu wanaingia darasani mpaka sasa kufundishwa na jumatatu ya terehe 19/5 wanaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.