sikuizi ni ruksa kuchunguliana tena usipo mwonyesha mwenzako unakung'utwa kisawasawa kama si ivo wasiojua kusoma wasingepita ila mwaka huu walimu watakua makini na wasiojua kusoma wasije aribu issue all the best wadogo zangu mungu awatangulie
si wengine wa sauti tupo tayar vyuoni yana tumelipa ada nusu tumeshachoka tunashindia chai tu tupo tabora nasisi tunataka kushiriki heri kufa kishujaa kuliko kuishi kwa aibu nashindia chai kweli wakati mzaz mtaji wa elfu kumi anabanwa kodi tunakufa huku njaabado ukichelewa kuripoti huku faini...
wakisema second round hatupewi mkopo wakati wengine tupo chuoni toka jana sikutupa pressure jaman maana tumelipa robo but ada nyingine zitatoka wapi au ndo kuacha chuo
achen tu wapendwa maana tanzania walikua wanaiongoza kama watu vipofu lakini si watanzania wa sasa tuna macho nauelewa wakutambua haki zetu na sio wakupelekwa tu walipaswa kutoa taarifa walipo fikia sio kukaa kimya nakuacha watu bila kuelewa wamesimama wp haya ni madhaaarau
First selection nilikosa nikajaribu secound round nikawa admitted,nimeangalia kwenye website ya chuo nilichoomba nimekuta tayari majina ya secound round selection yapo,nikachukua jukumu la kupiga tcu jibu walilonipa ni kwamba majina ya secound round hatujawatumia bado.NDUGU ZANGU HAPA IMEKAAJE.
mh bora yako best mi first round walisema wameruka jina langu so nifanye second round nimefanya nikawa addmitted arch bishop mihayo tabora majina ya second yametoka eti sipo kweli hi ni haki bora yake hata yeye amepata mi ndo sielewi hiz sound mh
sawa naona mmemjibu ipasavyo mi nimeomba second round tarehe 28 baada ya fist round kua nautata japo nilienda tcu wakakiri kunamakosa nakusema watashughulikia ikabid niombe tu mara nyingine lakini nasikia kukonfirm imeandika admitted sawa nakonfirm vp
kila nikimsoma huyo jamaa nasikia kichefuchefu ungekua hujachaguliwa popote ungerembulia wapi wacha kejeli mi mwenzako nina two lakini mpaka sasa tcu wananizingua nabado wanasema wanashughulikia ningepata IFM ningehic nipo haera so we baada yakupata ndo unajifanya sizitaki mbichi hizi unabweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.