Utata Mpya TCU,

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata ukaanza baada ya jina langu kutoka BeD UDOM. Na TCU wakanambia niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Sasa tatizo ni kwamba, kwenye 2nd Round App. Status ya profile yangu, kuna SAUT Mwanza, na imeandikwa ADMITTED. Maana yake First round NIMECHAGULIWA UDOM, na 2nd round nimechaguliwa SAUT.
Jaman kwa anayeweza kunisaidia, pliz
 
Nakushauri nenda UDOM pamoja na kuwa ina sifa mbaya kwa sababu tabia mbaya ni ishu ya mtu binafisi. Kwanza ada ni ndogo, hata kama hutapata mkopo (nakuombea upate)
 
Ebwana nakuunga Mkono aende Udom patamfaa na Mkopo atapata kwa uwezo wa Mungu Inshallah.
 
Na uzuri wa udom unauakika wa makazi 3yrs incampus.
Cha muhimu confirm kwanza kama udom wanaonyesha umekuwa admitted, jamaa yangu alikuwa admitted ifm kimakosa na akaomba 2nd round kapata mwenge, kwenye list ya ifm hayupo, so confirm udom uwe na uhakika.
 
You have Confirmed to Be Admitted in Bachelor of Education in Arts at University of Dodoma

Let God Be With Me All The Way
 
Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata ukaanza baada ya jina langu kutoka BeD UDOM. Na TCU wakanambia niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Sasa tatizo ni kwamba, kwenye 2nd Round App. Status ya profile yangu, kuna SAUT Mwanza, na imeandikwa ADMITTED. Maana yake First round NIMECHAGULIWA UDOM, na 2nd round nimechaguliwa SAUT.
Jaman kwa anayeweza kunisaidia, pliz

Tatua hilo tatizo mapema kwani loans board hawata toa loan kwa applicants wenye multiple admissions mpaka wasettle admissions zao na kumbuka kupata loan ni kinyang'anyiro.
 
unadhan tatizo lipo kwangu au kwa system za tcu? Mie nishaconfirm UDOM, xo cdhan kama bado nina cha kufanya kwa xaxa kuithibitisha choice yangu
 
Ni lazima pia uhakikishe SAUT wamekutoa,loan board hawataelewa kama kulikuwa na matatizo kwenye systems za tcu,wanaweza kukucheleweshea mkopo.
 
sawa naona mmemjibu ipasavyo mi nimeomba second round tarehe 28 baada ya fist round kua nautata japo nilienda tcu wakakiri kunamakosa nakusema watashughulikia ikabid niombe tu mara nyingine lakini nasikia kukonfirm imeandika admitted sawa nakonfirm vp
 
kwenye profile yako kuna mahali wamekuelekeza umechaguliwa wapi? Kwa mfano huwa wanaandika
Admitted in Bachelor of --facult-- at University of --chuo--
 
Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata ukaanza baada ya jina langu kutoka BeD UDOM. Na TCU wakanambia niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Sasa tatizo ni kwamba, kwenye 2nd Round App. Status ya profile yangu, kuna SAUT Mwanza, na imeandikwa ADMITTED. Maana yake First round NIMECHAGULIWA UDOM, na 2nd round nimechaguliwa SAUT.
Jaman kwa anayeweza kunisaidia, pliz

Piga kimya na uLambe Boom both sides,
Mpaka wastuke ushamaliza chuo
 
Back
Top Bottom