Kila la Kheri DARASA la SABA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Watoto wangu na wadogo zangu wa darasa la saba,kesho wanaiingia kwenye mitihani ya Tafa ya kumaliza shule ya Msingi. Watafanya mitihani hiyo kesho na keshokutwa yaani tarehe 19/9/2012 na 20/9/2012. Kila la kheri darasa la saba.Nawapenda sana wanangu na wadogo zangu...
 
sikuizi ni ruksa kuchunguliana tena usipo mwonyesha mwenzako unakung'utwa kisawasawa kama si ivo wasiojua kusoma wasingepita ila mwaka huu walimu watakua makini na wasiojua kusoma wasije aribu issue all the best wadogo zangu mungu awatangulie
 
Watoto wangu na wadogo zangu wa darasa la saba,kesho wanaiingia kwenye mitihani ya Tafa ya kumaliza shule ya Msingi. Watafanya mitihani hiyo kesho na keshokutwa yaani tarehe 19/9/2012 na 20/9/2012. Kila la kheri darasa la saba.Nawapenda sana wanangu na wadogo zangu...

Mungu atawavusha ingawa shule za kata wote wanafaulu!
 
Tunawatakia kila lenye kheri hao watoto wetu katika kipindi hiki cha mitihani. Best of luck!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom