Bodi ya mikopo yafanya kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo yafanya kweli.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kazuramimba, Sep 17, 2012.

 1. k

  kazuramimba Senior Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Taarifa toka bodi ya mikopo imebainisha kuwa mgodi huo unaotegemewa na watoto wengi wa mkulima upo taabani kifedha kutokana na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi wa juu wa sekta hiyo nyeti.Habari nyeti zilizolifikia gazeti la Nipashe ni kuwa kumekuwepo na semina elekezi zisizoisha pamoja na tabia ya kujipandishia mishahara na posho mbalimbali zisizo na mshiko.Imedaiwa kuwa pamoja na bodi kukana taarifa hizo ukweli umeendelea kuwahukumu.Hii inatokana na tukio la hivi majuzi la kujiongezea mishahara kufikia milion 7 na maposho kibao ikiwemo ya mavazi,kujikimu,nyumba na nyingine nyingi.KAZ KWENU MASKIN MNAO WATEGEMEA.
   
 2. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  We unayejifanya sio maskini ukute ndo bonge la fukara afu unasubiri boom kwa hamu kweli.
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Oya mkubwa wengine tuna presha, hiyo title yako khaaaa!!!!
  :hatari: :hatari:
   
 4. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Masaburi yako yana matatizo heading na ulichoandika haviendani kabisa...jaribu kuwa serious kidogo Taarifa zinazohusu mkopo zinahusu pia mustakabali wa maisha ya watu kwahiyo ni muhimu sana.Mtu akisoma title picha anayopata nikwamba Bodi imetoa majina akiingia kwenye thread yenyewe anakuta ni upuuzi tu.
   
 5. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mh nilijua kimetokaaa
   
 6. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Rudi shule kwanza ili ufundishwe namna ya kutengeneza kichwa cha habari na kuwianisha na habari yenyewe!!
  We jamaa ulichokiandika haya ni matusi siyo tetesi tena 'umaskini'unauma kuliko kidonda
   
 7. A

  Arnold Ndosi Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama Wewe Ni Mwandishi Wa Vitabu,magazeti Au Matini Zozote Utakuwa Mwandishi Kichaa.kama Mdaku Bwana,unaandikaje Kama Gazet La Udaku Linalo Andka Title Tofaut Na Habari? Usi2zngue,kwani Wewe Ni News Reporter Wa Nipashe?....! Alah!
   
 8. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ambeye c maskin ulifuatlia tarfa yanin
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  MOD naona kuwe na namna mtu aweze edit heading yake maana apa ni sawa na kuongelea vitu viwili tofauti
   
 10. m

  mazegenuka Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAZ KWENU MASKIN MNAO WATEGEMEA,wewe ni bonge la fara....kwa hiyo kauli yako sio wote wanaotegemea boom ni maskin
   
 11. c

  cheche19 Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we acha uongo bwana,loan board tayari wameshachukua cheki kutoka hazina,bado tu wanavutia kasi kutoa majina
   
 12. X

  X.800 Senior Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbona kichwa cha habar na habar ni tofaut?
   
 13. l

  linus hotter New Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chokojike mtoto wewe mbona unajishoo kshamba bundle ya jego inakuzuzua unaandika uchoko mbele ya jamii...
   
 14. T

  Tango one Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msameheni tu jamani yanamtosha hayo msimwongezee atalemewa
   
Loading...