Kwa mfano, kanisa la Mama Rwakatare, pamoja na kudai walikuwa wanafufua misukule, sasa hivi watoto wanagombania fito.
Owner kafa..kumbe ilikuwa biashara kama biashara nyingine.......na mazingaombwe juu
Uislamu gani unaouongelea wewe? Kuna watu wanaouana wenyewe kwa wenyewe kama maislamu? Na digotal world makes it easier to learn.
expect more challenges way forward....
Dhahabu anawapelekea kina nani?😀😀😀😀
Kwenye kifo, Mwenyezi Mungu ametuweka wote sawa.
Tunakwenda kama tulivyokuja. Hata kama tuna mali kiasi gani. Hazina maana wala msaada wowote
Nimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta 😂 😂 😂 😂
Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.
Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.