Recent content by Tanganyika50

  1. T

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Mimi sijadai kama wewe kuwa ni msemaji wa matakwa na maono ya watanzania mil.45!
  2. T

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Itambidi huyu jamaa azikiri uchi mwaka mzima kupata followers 1.6 million alionao mange!
  3. T

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Huu ni upuuzi uliopitiliza lakini ni mawazo yako sio mawazo ya watu milioni 6 na ushee wanaokiunga mkono chama hicho.Ni wishful thinking kudhani kwamba ndoto ya utopia ya kuigeuza jamii ya watanzania kuwa homogeneous mono thinkers itafanikiwa.Pole sana.
  4. T

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Kuna madhara zaidi ya kuuwa watu wasio na hatia kwa kulinda maslahi binafsi ya wateule wachache?!Wewe na huyo mweka bandiko hamwakilishi maoni "wananchi" hivyo confine maelezo yako kwenye upeo wako wa kufikiri na kwa mtizamo wako peke yako.
  5. T

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Silly.Kama waraka ni wa mtatiro peke yake ange mPM
  6. T

    Tundu Lissu: Letters from a Nairobi Hospital Bed

    Its a mater of context.Hitler was an elected leader.....and so was Mussolini between 1922 to 1925 before he dropped all pretense of Democratic process and established a legal fascist dictatorship.So truth is elected leaders can and do become "National disasters" especially if the people do not...
  7. T

    Rais Mstaafu, Ali H. Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    In my view...too little too late....BBC imewaumbua!
  8. T

    The Guardian: Bombardier zilinunuliwa bila kuwa na business plan

    Well...What you know is erroneous......Go with your thoughts to the bank and ask them for a loan and see what they tell you!
  9. T

    Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

    Barbarosa Kila contention ina premise yake.Nia ya mwandishi haikuwa kutengeneza mizania ya mifumo ya "checks and balances" ndani ya vyama vya siasa vilivyopo Tanzania!Naimani kuwa lengo lake lilikuwa kuaininsha athari za udhaifu huu alioubaini ndani ya chama tawala na jinsi ambavyo udhaifu huu...
  10. T

    Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

    CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mkuu havina dola!Kwa maana ya kwamba havina serikali na haviongozi serikali iliyopo madarakani hivyo basi udhaifu au kutokuwepo kwa checks and balances ndani ya vyama hivyo haviadhiri moja kwa moja utendaji wa serikali kama mwandishi anavyoelezea.CCM ni...
  11. T

    Chama cha Madaktari(MAT) watofautiana na Serikali juu ya kupeleka madaktari nchini Kenya

    Hogshit! Hii ni propaganda hatari kabisa kwenye mjadala serious. Kila mtu anajua jinsi mazingira ya kufanya kazi yalivyo yq hivyo kwa madaktaki,jumlisha kutokuwepo kwa vitendea kazi vya msingi kabisa,milundikano ya wagonjwa na uhaba wa madawa...achilia mbali mishahara namarupurupu duni. Kama ni...
  12. T

    Kero hii ya kutofikishwa kileleni

    Hii imetulia! Inanikumbusha makala za mtu anaitwa Ani Jozeni kwenye magazeti ya The Guardian Limited BTW....Yule jamaa sijui aliendaga wapi?!
  13. T

    Naomba msaada

    Wadau kwa siku mbili mfululizo najaribu kupata shule walizopangiwa wanafunzi wa darasa la saba mwaka huu (2016) bila mafanikio.Je kuna mtu anaweza kunijuza wapi naweza kuyapata?au akaniwekea link ya website yenye nayo.Nimejaribu websites za necta na moe bila mafanikio na website zingine ukifungu...
Back
Top Bottom