Recent content by Tanganyika Forever

  1. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli Usikubali Kutapeliwa

    Huu utamaduni wa CCM kuwalinda wakwepa kodi eti kwa kuwa wamechangia ushindi wa chama ni utamaduni wa wa ki zuzu. Hao wafanyabiashara wanawatapeli ccm na serikali kwa ujumla, kwa kuwa mtu anakuibia 1000 halafu anakupa 100 kutoka kwenye hiyo aliyokuibia. Magufuli usikubaliane na uzuzu huu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania TRA huu ni zaidi ya unyanyasaji!

    Ni vema TRA wakatoa elimu katika maeneo haya
  3. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA Wamshukia Kikwete kama mwewe, Dr. Slaa asema Familia ya Kikwete ni mnufaika wa Escrow

    Suala hili liwekwe wazi sasa !
  4. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

    Magufuli aanzie hapa ! Kuna mabilioni ya kutosha tuliyolipia umeme hewa (inflated)
  5. T

    JamiiForums Tanzania Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Bingwa wa safari za nje !
  6. T

    JamiiForums Tanzania DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Nimemfahamu Paulo Makonda vyema baada ya kuteuliwa kwake kuwa DC wa Kinondoni. Niseme wazi kuwa tabia yake inadhihirisha utovu wa nidhamu, kujipendekeza kuliko pitiliza kunakopelekea kuwavunjia heshima wakubwa wake wa kazi ambao kimsingi ndio waajiri wake. Kuna ambao amewavunjia heshima kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Membe ajikaanga kwa mafuta yake

    Suala la undugu wa Membe na JK lipo wazi sana. Familia zao zote zinajua hilo. Ridhiwani na familia ya JK wanamuita Membe Baba mdogo. Sidhani kama wana ccm wataukubali huu usultani unaotaka kujengwa na familia ya JK
Back
Top Bottom