Tanganyika Forever
Member
- Jun 5, 2015
- 8
- 1
Huu utamaduni wa CCM kuwalinda wakwepa kodi eti kwa kuwa wamechangia ushindi wa chama ni utamaduni wa wa ki zuzu.
Hao wafanyabiashara wanawatapeli ccm na serikali kwa ujumla, kwa kuwa mtu anakuibia 1000 halafu anakupa 100 kutoka kwenye hiyo aliyokuibia.
Magufuli usikubaliane na uzuzu huu.
Raia Mwema - Warasimu wanamhujumu Magufuli? - 1
HOT255NEWS: WAKWEPA KODI WALIOKAIDI AGIZO LA JPM KUKIONA CHA MTEMAKUNI
Kama Magufuli kama Kikwete,mafisadi wabembelezwa