Recent content by Tang Zhou

  1. Tang Zhou

    Ana maji mengi sana, afanyeje yapungue?

    Mpatie namba sasa huduma kwa Wateja
  2. Tang Zhou

    Watanzania tukitulia tunaweza kuwashinda Umoja wa Ulaya na Marekani kwa mbinu

    Hizi pumba ongea na vilaza wenzio Lumumba, wakati mnalikoroga mlitushirikisha?
  3. Tang Zhou

    Mapungofu ya hati ya kiapo (affidavit) ya mashtaka ya kikatiba (petition) ya Ado Shaibu

    Mtu mwenyewe unaandika "Mapongofu" halaf eti ndo uelewe kilichoandikwa kwenye hati ya mashitaka?😅😅
  4. Tang Zhou

    CCM, JamiiForums ni watu siyo Mashine!!

    Maccm sijui hata tuyatukane kwa matusi gani ndo yagutuke usingizini kaka!
  5. Tang Zhou

    Uzinduzi channel ya Utalii TBC Timu ya ufundi ifumuliwe yote itumbueni

    Siyo TBC, ni TBCCM....tangu lini taasisi inayohusiana na fisiemu ikafanya kazi kwa ubora?
  6. Tang Zhou

    Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Kama si Mahiga...kama si Mahiga...sasa tungekuwa tunaongelea mengine kuhusu uhai na urais wa Jiwe!
  7. Tang Zhou

    Muda si muda Chato kuwa shamba darasa

    Kwa kweli Chato wanahitaji hongera...wamepiga sana hatua kimaendeleo baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, nashangaa Dodoma tangu mwaka 1977 pamoja na kuwa na CDA hawana Uwanja wa Ndege wa maana... Chato Oyeee, Wahutu Oyeee!
  8. Tang Zhou

    Kada CCM Dr. Muzzamili Kalokola ajitosa urais 2020, adai Magufuli kakiuka utaratibu

    Kilicho dhahiri ni kuwa...Magufuli atapingwa 2020, iwe Kalokola, iwe Membe, liwe Jiwe lenzake, iwe Kichaa mwingine ama hata wale wabangua korosho kwa meno kule Mtwara...THE WRITINGS ARE BRIGHTLY SCRIBLED ON THE WALL!
  9. Tang Zhou

    Kwa maagizo haya si kuna uwezekano sasa Makonda ni "mhalifu" asiyetakiwa Ulaya na Marekani?

    Sasa povu la nini kiongozi, imekuuma? Kwani mimi ndo Bunge la EU au Senate ya Marekani? That is a precise price of evil, u gotta face it and own it bloody fools!
  10. Tang Zhou

    Kwa maagizo haya si kuna uwezekano sasa Makonda ni "mhalifu" asiyetakiwa Ulaya na Marekani?

    BAN/KIFUNGO tu cha siku 1 hapa JF huwa kinauma kinyama...sasa fikiria kiongozi mpenda sifa na mbwembwe za madaraka kama Makonda apigwe hiyo ban ya kutokutakiwa nchi zote za EU na Marekani, na nchi Washirika kama Australia.. Nasema hivyo kwa sababu moja ya vipengele vya maagizo ya EU kwa...
  11. Tang Zhou

    US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

    Yamkute tu ikibidi na yeye akaonje utamu wa kulima na kubangua korosho kwa meno!
Back
Top Bottom