Usiwapotoshe wenzio sheria inasema kila mfanyakazi lazima awe anakatwa 2% ya mshahala wake kama ada ya uanachama kwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi au agency fee yaani ada ya uwakala kwa wasio wanachama
Kwani hakuna silaha za aina hiyo kwa majambazi?
Maana inawezekana kabisa Operation ikawa imefanyika katika kiwango cha kukamata na kuua jambazi tofauti na wale waliofanya mauaji
Kwani nakumbuka mara matukio hayo yatokeapo huwa tunaarifiwa kuwa majambazi hayo yalikuwa na silaha za moto. Au mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.