Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro limetajwa kushindwa kupiga hatua za kimaendeleo kwa miaka kumi kwa kukosa mwakilishi sahihi wakutatua changamoto zilizopo.
Kutokana na hali hiyo mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama cha mapinduzi(CCM)Dkt Charles Kimei amesema sasa ni muda muafaka...
Moshi
Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama cha mapinduzi(CCM)Dkt Charles Kimei amesema hakuwa na mpango wakuingia kwenye ulingo wa siasa ila changamoto zinazowakabili wananchi wake ndizo zilizomsukuma kufanya hivyo.
Dkt Kimei alisema aliyewahi kuwa mbunge wa Vunjo kupitia CCM...
Moshi.
Miundombinu kwenye masoko yaliyo mengi katika jimbo la Vunjo imetajwa kutokwa rafiki hivyo kufanya biashara kufanyika kwenye mazingira magumu na hatarishi ikilinganishwa na maeneo mengine nchini.
Kutokana na hali hiyo muingiliano wa wateja umekuwa ni mdogo hivyo wauzaji kuuza bidhaa...
Vunjo
Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa Sekta za kifedha katika Jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na Serikali.
Dkt. Charles Kimei ambaye ni mgombea Ubunge jimbo la Vunjo (CCM)alisema kazi mojawapo iliyopo mbele yake...
Mwandishi Wetu
Vunjo
Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa sekta za kifedha katika jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na serikali.
Dkt. Charles Kimei ambaye ni mgombea ubunge jimbo la Vunjo (CCM)alisema kazi mojawapo...
Moshi
Vikundi vya wajasiriamali wadogo wadogo mkoani Kilimanjaro vipo mbioni kunufaika na mkopo wenye riba nafuu uliotolewa na serikali kupitia shirika la hifadhi ya jamii Nssf kwa lengo la kuinua biashara zao.
Shirika hilo limetenga shilingi bilioni tano kwa ajili ya kuvikopesha vikundi hivyo...
Same
Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara yenye urefu wa kilomita 15 baada ya serikali kutengeneza barabara ya Sanga Chome Kakoa kilomita 9 kati ya 24.
Hamad Waziri Hamad mkazi wa Chome alisema kuwa kutokana na...
Same
Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara yenye urefu wa kilomita 15 baada ya serikali kutengeneza barabara ya Sanga Chome Kakoa kilomita 9 kati ya 24.
Hamad Waziri Hamad mkazi wa Chome alisema kuwa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.