Recent content by Tambwe hiza

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamefanya mabadiliko gani majimboni kwao?

    Kwa wanaofikiri vizuri,wanajua mbunge wajibu wake ni kufikisha matatizo na vipaumbele vya maendeleo ya eneo lake kwa mamlaka husika (serikali kuu na manispaa yake)hakusanyi kodi za wananchi,ada za leseni,kodi za majengo,kodi za mapato,vat na nyinginezo,kwa hiyo ukiona sehemu yoyote haijaendelea...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rai: Vyombo vya Habari VISUSIE Habari za mkuu wa mkoa Dar kuanzia Leo

    Kwa nini isiwe habari za serilali na ziwe za Makonda,? Na kwa nini iwe clouds na isiwe vyombo vyote?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mashaka makubwa kwa uongozi wa awamu ya tano

    Akili nyembambaaaaa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu aongezwa kwenye jopo la Mbowe

    Ulimwengu ni wakili tangu 1980's labda kama kuna utaratibu usipo practice kwa muda unafutwa na kutakiwa kuomba upya,na kama kumbukumbu zangu hazija potea aliwahi kuwa Rais wa TLS
  5. T

    JamiiForums Tanzania My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Umeenda nje ya mada kabisaa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe wa CHADEMA ana upekee gani?

    Nasubiri maendeleo ya kesi nijue kama mahakama iko huru au nayo kama sisi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

    Katika clip alizo sikika Jana Wema alisema walienda kusachi wakakuta hakuna kitu,kama kuna ukweli je walikwenda tena ndiyo wakakuta huo msokoto? Na kama ni hivyo unafikiri watanzania walio wengi wataamini kweli msokoto huo haukuwa wa kubambikiwa baada ya kumsikia akilalamika kupitia mtandao?ili...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

    Swali gani hilo,mbona humuulizi Makonda na serikali mbona hawakuwakamata hao siku za nyuma?
Back
Top Bottom