Wanajamvi mimi sio mjuzi wa sheria,naomba kujuzwa na wabobezi wa sheria juu ya haki anazopoteza mtuhumiwa aliyesomewa mashtaka ya jinai mahakami kabla ya mahakama kumtia hatiani,nauliza kutokana na memo inayooneka mitandaoni juu ya nondo kusimamishwa masomo kwa tuhuma zinazomkabili,na kama...