Mimi kwa jinsi ninavyoona hali ya mwenendo wa Kisiasa style ya kuongoza ya Rais Samia anatumia Uongozi shirikishi, CCM inashirikishwa. Nawashauri upinzani uanze majadiliano na uongozi wa CCM ndo baadaye waanze Mazungumzi na Serikali.
Hapana huo mradi wa kugawa maeneo ya Utawala usitishwe kwa sababu za kuongezeka Gharama za uendeshaji wa Serikali kama kuna ulazima sana Mikoa iliyogawanywa tuangalie tumeachieve nini.
Hiyo inayoitwa Mikubwa ijengewe barabara za lami kuunganisha Wilaya na Makao Makuu ya Mikoa ufanisi...
Hiyo naipa tafsiri kuwa unamsifu in disguise ni Mbowe aliyedhihirika kuwa ni mpinzani imara kupata kutokea ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki ambako mfumo wa kimabavu umetamalaki. Pamoja na kuumizwa kimwili na kiuchumi lakini hajayumba sisi wengi tulinyamaza kimya wakati uonevu wa wazi...
Hili ndilo tatizop la vijana wa Kiafrika, siri ya Maendeleo utayapata kutokana Maandishi hicho ndio chanzo sahihi ya kupanua uelewa wako.Usipende sana vitu vya kusimuliwa tafata maarifa katika vitabu na machapisho ya kitalaamu.Huyu ndugu Mier ameamua kuchukua mda wake kushare nasi kile...
This topic needs a holistic approach, before embarking in a full Political Integration. The whole structure of Resource Allocation on each Member State should be reviewed to encompass Social-economical set-up. It is imperative for each of us to discuss this issue on finding a best formula to get...
Kilicho pangwa ni kuwa, baada ya Haroon kupita kura za maoni CCM na Gamdust kugombea kupitia CUF/UKAWA wakati kampeni zikiendelea Gamdust atajitoa au atafanya kampeni dhaifu ili kumpa binamu yake nafasi ya kushinda kirahisi kupitia CCM.
Abunuas hujakiona hiki kipande?
Kilicho pangwa ni kuwa, baada ya Haroon kupita kura za maoni CCM na Gamdust kugombea kupitia CUF/UKAWA wakati kampeni zikiendelea Gamdust atajitoa au atafanya kampeni dhaifu ili kumpa binamu yake nafasi ya kushinda kirahisi kupitia CCM.
Huu utaratibu ni mzuri na ungeweza kusaidia vyombo vya maamuzi kufanya evaluation ya wagombea kuangalia ni namna gani imepokelewa na watazamaji/wasikilizaji.Nakumbuka wakati wa muhula wa pili wa Uraisi wa Obama, upande wa Republican walijitokeza wagombea wasio pungua nane(8) mmoja wa wagombea...
Tunaomba Mod mtuwekee Video clip za watia nia wote ili tupate urahisi wa kuwachambua.Tafadhari fanyeni kazi hiyo ya kitume na muanzishe thread maalum kwa ajili hiyo.asanteni sana.
Pasco, Heshima yako Mkuu, ombi langu kwako uitume Essay hii kwenye magazeti yote ya kiswahili ili elimu uliyotoa leo iwafikie wengi.Hakika umeandika kitu cha msingi ambacho kinamaliza vianzo vya migogoro isiyokuwa ya lazima kwenye jamii yetu mchanganyiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.