Recent content by Tamaduni Sr

  1. Tamaduni Sr

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Jiandae kisaikolojia maana wengi huwa mnajisahau, unamaliza chuo huna hata senti tano unaanza kuuza vitu
  2. Tamaduni Sr

    Bank Officers (NMB)

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Tamaduni Sr

    Nafasi za maombi, fursa za kibiashara Dar es salaam online business opportunity

    Biashara za mtandao hizo[emoji856][emoji856][emoji856] haya Vijana fursa hiyo kawekeni pesa zenu huko
  4. Tamaduni Sr

    Biashara ya mazao na matunda inalipa na inawatoa wengi kimaisha, Vijana tuache kuilaumu serikali

    Habari wakuu kwa wale majobless kama mimi nawapa ujanja baada ya kupata uzoefu kidogo wa miezi kama mitatu hivi, kwa dar es salaam kuna masoko kama manne hivi ninayoyafahamu vizuri..yaani soko la ilala, temeke steriol, buguruni, mabibo na tandale..nimekaa kwenye haya masoko kwa muda huo wa miezi...
  5. Tamaduni Sr

    Natafuta kazi iliyo halali

    Changamoto kweli.... tena changamoto saana
  6. Tamaduni Sr

    Wanaojua connections za kazi au sehemu ambayo naweza kujitolea naomba mnisaidie

    Amen!!! But don't feel bad my champion this is part of our life
  7. Tamaduni Sr

    Natafuta kazi iliyo halali

    Hata hiyo nafanya mkuu
  8. Tamaduni Sr

    Wanaojua connections za kazi au sehemu ambayo naweza kujitolea naomba mnisaidie

    Mimi ni graduate wa chuo, nimesomea masuala ya biashara katika Uhasibu, pia nnauzoefu wa kuendesha pikipiki na leseni pia nnayo, nmesha fanya kazi ya usambazaji wa magazeti kipindi cha nyuma kwa kutumia pikipiki.... Ombi kwako mdau,ndugu, jamaa na marafiki kama una connection au unaweza...
  9. Tamaduni Sr

    Natafuta kazi iliyo halali

    Nipo dsm ukonga Mombasa
  10. Tamaduni Sr

    Natafuta kazi iliyo halali

    Habari wakuu Mimi ni graduate wa chuo kikuu nimesomea masuala ya biashara katika uhasibu,pia ni dereva wa pikipiki mzuri na nnaleseni ..Naombea wadau,ndugu,jamaa na marafiki ambao mnaweza kuwa na connections za kazi, hata isiyo husiana na maswala niliyosomea ...ilimradi iwe kazi halali...
  11. Tamaduni Sr

    Mdogo wangu kaniandikia barua nzito, adai nihame nyumbani nikajipangie maisha yangu

    Trust me bro ondoka hapo home utakuja kumshukuru huyo dogo Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Tamaduni Sr

    Umeshawahi kuwa single muda mrefu mpaka ukiwaona mbuzi wanado unawaonea wivu???

    Hatariiii mkuu yani wanapandana mara mbilimbili Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Tamaduni Sr

    Umeshawahi kuwa single muda mrefu mpaka ukiwaona mbuzi wanado unawaonea wivu???

    Habari wakuu .. hii sio thread ya kuchekesha Ila nimeona ni vizuri nikiwashirikisha.. kwa muda mrefu sana niliamua kutulia nitafute pesa za kupambana na Hali ya sasa ya uchumi..sikutaka kujihusisha na mahusiano yapita kama mwaka na miezi sita, mnaweza niuliza ni vipi nilifanikiwa kukidhi haja...
  14. Tamaduni Sr

    Natafuta kazi/kibarua

    Guys msimuhukumu mtu kwa kuangalia malalamiko ya mtu mmoja fanyeni utafiti...anyway Kama ni tapeli aache Mara moja ataishia kufa maskini hela za utapeli hazina Baraka hata kidogo Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom