kama ulizaliwa na mwanamke na kama ulisema hapa ni ni sahihi huyo mwanamke sio mtu piga chini mazima na akiendelea kukupigia simu mripoti polisi faster.
WanaJF poleni na COVID-19. tuendelee kuchukua taadhari , wafanyakazi nawatakieni may mosi njema, wasio na kazi muendelee kutafuta kazi wala msikate tamaa mungu atajibu maombi yenu.back to the point.
Ni miaka 36 tangu nimezailwa kwa sasa nahitaji kuwa na mke so as to form a family.
Nina uwezo...
Wafu hawana uwezo wa kuona wala kutenda mtu akifa ndo kaenda mazima mpaka kristo atakaporudi ndipo parapanda italia na makaburi ya walio mema yatafunguliwa.
Pili kuhusu kuoa: suala hili lilikuwa na umuhimu zamani kwa sasa ni kupoteza muda na rasilimali madada wanaingia kwenye ndoa kama kitega...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.