Hii ya leo ya mkuu wa mkoa mwanza kiboko. Unazurura tu na kisuti chako unajifanya ww boss kuliko mimi ntakung'oa'! Kama kuna kidume zaidi yangu hapa mwanza tutaona sasa.. duu nikabaki tu natoa macho kama nimefumaniwa vile.
Huo ni mkutano wa wanakagera kwa ajili ya maendeleo ya bukoba. Haubagui chama wala dini.. ukisema hivo unamaanisha hata malinzi na kusaga ni wafadhili wa chadema? Zinduka ww uko kwenye tope zito.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.