Recent content by Tajirimsomi

  1. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Aina za watu Maofisini

    Machawa wamekua mwiba sana mi kuna chawa alinikosesha appointment na boss kisa nikikataa kumnunulia msosi
  2. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

    Hawajui haya mambo yalivyo mtu akikuta mtu kashika spana anarekebisha ac na kaajiriwa anamwita form four na wakati ana taaluma yake majeshi pekee ndo kuna form four ila kwingine lazima uwe na cheti cha taaluma
  3. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?

    Japo nimeishi dar mda ila naina rafudhi ya pwani wanaongea sana watoto wa uswahilini na maskini huwezi kuta mtu kazaliwa osterbay,upanga ,mbezi ana rafudhi ya pwani
  4. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

    Truck driver form four haitoshi ana cheti cha udereva ambayo ni taaluma kama ni hivyo mbona kuna masecretary nao utawaita form four? Mafundi umeme,bomba,AC nao wameajiriwa TRA nao utawaita form four? Kiufupi tra haina ajira ya form four hata wapishi na wahudumu wana vyeti vya taaluma za fani...
  5. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Kama una gari na huwezi kununua mafuta na kuwasha AC continuously umevamia pori

    Raha ya gari kushusha kioo kidogo bwana
  6. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongereni sana Bado sam mirror 1
  7. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana champion
  8. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyotapeliwa Kijinga Sana, Nimejifunza

    Mamkubwa yangu alipigwa kwa staili hiyo
  9. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Ebu twambie ilikuaje hadi wakafikia uamuzi huo
  10. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Tsh. 350,000/- ni mkubwa mno kwa mtumishi anayeanza kazi, halafu bachela

    jamaa yangu anafanya kazi sheli shahara 180k + pesa ya chakula na nauli 100k nachoshangaa kajenga na ana gari japo haendagi nalo kazini
  11. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuangalia jina la mmiliki wa gari kupitia plate number

    nahitaji msaada wa hili swala
  12. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    japo sisupport iyo biashara kutokana na misingi yangu ya kiimani na kimaadili ila binafsi back in the days ni miongoni mwa watu walionufaika sana kutokana na ao watu asee. uteja wangu ulianzia mwanza kirumba dadeki ndo nilipata experience ya kwanza mwendo ukawa huo huo dodoma pale keko na dmc...
  13. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata filamu ya Royal Tour?

    Mimi ninayo
  14. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

    Kinachonisikitisha watu wako busy kumsema magufuli hawajui nyani washavamia shamba tutavuna mabua,si mmeona leo budget ya wizara ya fella tirion 13 matumizi ya kawaida trillion moja ndo maendeleo
  15. Tajirimsomi

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio dstv, Tatizo kifurushi chako

    Asee sikuwahi kufahamu kama dstv ni tamu namna hii jana ndo nimejua dstv balaaa. Mi ni mgeni kwenye dstv,nilivyonunua hili dish lilikuja na kifurush cha ofa package ya poa . Kiukweli sikuona cha ajabu chochote hadi nikatamani kununua Azam hata channel nilizopewa hazina ubora hadi nikahisi au...
Back
Top Bottom