Recent content by tajirimasikini

  1. T

    Naomba msaada wa taarifa.

    Wanapatikana mtaa ulio mkabara na mtaa wa congo kkoo, kama unaenda mtaa wa grezani.
  2. T

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Kaka ulishaanza biashara bila kujua kwamba umeanza biashara.Hiyo nyumba ndio mtaji wako. usingejenga bro ukaingia kwenye business wakati ukiwa kazini ungepoteza sana hasa kwenye nchi ambayo waaminifu wanahesabika? lakini iliweka store fedha yako kwa thamani ya nyumba. you can do it again and you...
  3. T

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Jaman investment ni perception on how will you generate income. Nyumba sio lazima uijenge kisha ukakuishi .Inaweza kupangishwa kwa waindi kama wanavyofanya Arusha, then na ww umepanga uswahilini real estate business guys msichanganyikiwe just think every thing can be invested.good night
  4. T

    Is Russia"s annexation of Crimea worse than Israel's occupation of Palestinian territories?

    Ihope if your not bias you can find Palestinian in bible but you need to study it carefully
  5. T

    Mmoja kati ya mashabiki apasuliwa jicho kwenye vurugu Mahakamani.

    chadema ya mbowe(chaga/kaskazini clan) vs chadema yetu kazi kwenu(nzito) chadema mali ya nnchi nzima sio makabira ya kasikazini tu! mkitaka tifikie huku ilimturuhusu kugombea kiti ,haya tutafika ila kama nini kukiondoa chama hawala basi tuwewamoja na wanademokrasia ambayo imebalance mikoa yote...
  6. T

    Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

    Nchii hii raia wanalinda malizao wenyewe police sio wakutegemea maana wao huchukua chao mapema! napenda kuwambia hata ukiishi na watu vizuri huwezi kukosa maadui coz its nature
  7. T

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Ninakaribisha maoni yenu hasa nyie mlio nje na mnaishi katika miji iliyopangwa? Je uholela unavumiliwa au kuendekezwa? Tupe habari. Mama Tibaijuka Pole Mama Tibaijuka kwakuona waliopo nnje ndio wanaexposure yakutosha kukupa mchango juu ya mji wako mpya!sikushangai nikawaida yenu...
  8. T

    Yusuf Manji; Mmoja wa Watu Walioficha Fedha Uswisi

    :nono::nono::nono::nono::nono::nono: HATUWACHUKII WANACHUKIZA ,utajiri wa manji NA WAINDI WENGINE WENGI TANZANIA ni wa manipulations na ndio maana watu hawampendi na wanamchukia: kuna watu kama said ni matajiri tz nzima lakini huwezi sikia sifa chafu, kama unazo sifa chafu yeyote ya said...
  9. T

    Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

    Kumbe ni dr masoud! Aka mr misifa!, kawaida yake hiyo! Hawamjui ndio maana wanamponda kijana wa watu. Ajapata cpa huyo, kiwango hana, na hilo desa lake nani editor ili lipate idhini yakutumika kama reference material? Poleni jamani
  10. T

    Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

    kila aliye chngia hapa sijaona uchambuzi yakinifu zaidi ya kumzonga kwa maneno makali kijana wa watu. ukweri nikwamba bumu wanapata kwa asilimia wengine mpaka daraja c na wengine f kabisa sasa kama wange pata kwa asilimia yakutosheleza unafikili wange lalama? wengine ndio hivyo hali niduni na...
  11. T

    Machafuko/vurugu kubwa Kigamboni

    Ndugu zangu wana jamii mi nawashangaa sana, nimeleta taalifa baadhi yetu wanataka kuzodoana kuhusu vyama sasa yanaowakuta huku kigaboni, sio wa chama furani tu bali wote walasi mafungu ya watu, ni kutoka vyama vyote kwani tuna jua wazi fery ni sehemu iliyo changanya watu tofauti tofauti! jambo...
  12. T

    Machafuko/vurugu kubwa Kigamboni

    Ni hatari jamaa anaendekeza dhuruma tupu!
  13. T

    Machafuko/vurugu kubwa Kigamboni

    tetesi machafuko/vurugu kubwa kutokea‘'mjimpyamtarajiwa'' ferry kigamboni ni baada ya kuwepo kwa taarifa zisizo rasimi toka kwa mh diwani doto msawa, na nakuwapandisha jaziba na hasira wananchi zikiwataka wananchi kuvunja, bila yeye kufata utaratibu za kuvunja majengo au mabanda ndani ya...
Back
Top Bottom