Recent content by Tajiri wa Kwanza

  1. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

    Exactly
  2. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi mnaishi na sisi mtaani huku halafu mnatuchukulia kenge, hii vita mnaitafuta itawatokea puani!

    Siku ambayo wataomba familia zao zisamehewe hazikuhusika
  3. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kazi au Connection ya Kazi

    Natamani nifahamu hii ya kusoma maana nimekwama kusoma Masters asee
  4. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Kabisa atupe fact
  5. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

    Sawa sawa
  6. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

    Katia mfano hapo mkuu
  7. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwako wewe kaupiga mwingi na atapiga mpka achane net, Mimi nasubr nione huo mwingi unaishia wapi ,
  8. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kabisa walimuita dictator lakin aliitengeneza nchi tukaheshimiana Ila hapa tulipo na hii jinsi nyingne nkama tunarud kweny tulkokuwa huko miaka ya 2005 kurudi nyuma
  9. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Sema wewe ndio umempokea ustuseme Bwana Mimi Ni mtanzania hata Kama Niko nje ya nchi ili usiniseme ,mm sjakubalian kbsa
  10. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Anaifungua nchi kwa namna ipi na wakt anadororesha maswala ya maendeleo embu ustuchanganye nawe Kama huoni sisi tunaona Toka tulipokuwa mpka tulipo,katurudsha nyuma hatua nyingi,uchawa huo
  11. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Makampuni binafsi na taasisi

    Kuna muda nimejaribu kufikiri kwa upana juu wahitimu wengi wa vyuo vikuu especially wale ambao wanatoka form six yani hawajawahi kuingia mtaani kujua changamoto ya utafutaji, Wanapomaliza chuo wanapata wakati mgumu kuiface Hali ya maisha mtaani na namna watakavyoanza kusurvive huku wakipambana...
  12. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Urais wa Yanga twende na GSM

    Michongo mingi mwaisa Yan bongo huna sifa hata ya ubeba zege Ila utasikia fundi huyoo
  13. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kwanza msisahau Kati ya timu za taifa Bora Africa Algeria wapo na ukichukulia moja ya timu zinazotola ukanda was kaskazini zenye kiwango Bora Cha soka Algeria Ni wazuri kucheza na Tanzania Ni Kama walikuwa wankuja kamilisha ratiba kwasbb wanjua kiwango Cha mataifa ya East Africa ukanda wa maziwa...
  14. Tajiri wa Kwanza

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Watu wasimba mmezoea Sana midomo Kam nyumba ndogo umbea mwingiii kuliko vitendo
Back
Top Bottom