Recent content by tajiri tumbo kubwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    niadikie pm pls, natanguliza shukrani
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania tuamke! Wenzetu wa Afrika Mashariki wanatutamani

    Todays wealth is not found in things like land and such, its in KNOWLEGDE, maarifa, na hii ndio watanzania hawana, kuwa na ardhi, maji hakuwezi tu kukufanya uwe tajiri, maarifa ndio inaongoza dunia siku hizi, na watanzania wengi ELIMU BORA hawana, hio ndio tatizo namba moja
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    shida gani mkenya kujua njombe na iringa,inaoyesa zile wewe ni mjinga wa kupidukia,
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

    ambie marafiki, jamaa na watu wa ben saa nane, azory gwanda na wengine wengi ambao waliuawa na huyu katili wa ajabu magufuri, mimi ni mkristo lakini nashukuru mungu kwa kumuondoa huyu muuaji na kumutupa kwa shetani, magufuri hakuwa na tofauti na shetani
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada ufugaji wa nyuki

    unauza asali nchini au soko la nje, kaa ulaya au
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake wetu wasomi, bado hatuelewi nini wanataka

    Germany former chancellor, angela markel, ameolewa, alikuwa mkuu wa taifa lenye uchumi mkubwa europe, na alikaa madarakani miaka 16, na bado ako poa na mume wake, sasa hao wetu wa bongo na tujivisenti twao, wanajiona wakuu sana, hawana lolote,ni ujinga tu kufikiria hela tu ndio inahitajika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Pamba (cotton) inapandwa au inakuzwa kwa wingi mikoa au wilaya gani?

    nashukuru sana mkuu, barikiwa
Back
Top Bottom