Recent content by Taitu2024

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Godwin Mollel ashinda ubunge jimbo la Siha kwa asilimia 78.4 dhidi ya wapinzani wake

    Yan kamekaa sura ya kichawi chawi tu plus kunywa damu za watu sijui kakoje na upara wake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Wakuu hbr za Leo naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa na kwa degree ya lab technician anaeanza mshahara wake ni kiasi gan
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Hbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Basi tumuachie Mungu Kila kitu anaweza kubariki uzao ukapata watoto wazuri na wenye akili
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Hata yule binti ni kama vile sio wa tina kimuonekano
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Hawaendani kabisa ndo maana Tina kamkimbia na hawezi hata kumposti..
  7. T

    JamiiForums Tanzania Director July Tax unakosea hapa tu...

    July tax nimemuona kwenye jua kali anaigiza kama Moses kule kijijini Yan badala ya Kuwa director mkubwa Kwa sasa yeye ndo anaanza upya Kwa lamata
  8. T

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Hakuna huduma hapo Zaid ya show off tu dunia imuone alovyo mzuri madanga yapandishe dau
  9. T

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ndio maana Mungu kampiga kofi na uzuri wote alionao watoto wake wote wamefanana na Mzee shusho
  10. T

    JamiiForums Tanzania Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

    Tatizo hapo ni vyombo vyetu vya usalama kujiona ni Miungu watu na wako juu ya Sheria na unyanyasaji kibao.. hii connection kuvuja ni kama vile tu bahati nzuri kutujuza jinsi mambo yanayoendelea yawezekana ndo mchezo wao na watendewa wanaofanyiwa ukatili Huwa wanatishia kukaa kimya hawashitaki...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Anajiona mzuri sana haendani na Mzee shusho
  12. T

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Itakuwa kampata anaempenda huko kenya
  13. T

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ipo siku atajikuta Yuko peke yake tu uzee ndo mwisho wa hbr yake
Back
Top Bottom